Nina mdogo wangu anaenifuata,alikuja kutambulisha mchumba mwezi wa pili wakatoa mahar na ndoa imetangazwa itakua june keshokutwa.Mdogo wangu ameniambia juz anamimba ya miez sita na jun itakua miez saba.shida inakuja yeye anasoma mwaka wa kwanza chuo,baada ya wazazi kuambia kwamba anataka kuolewa walipanic sana mpaka baba wadogo na wajomba waliingilia kati.mpaka sasa nimemueleza mama mpaka leo ameshindwa kula anasema atamwambiaje baba coz baba yangu anamaamuz ya ajabu.tumefanikiwa kuvunja sendoff tukisingizia kwamba atakua ana mitihan na test.JE tunyamaze tusimwambie baba ajionee kwenye arusi?na tukimwambia mapema anaweza asiende kwemye harusi hivyo bado italeta picha mbaya kwrnye hiyo ndoa.jaman naomben mnisaidie mawazo