nifanyeje?nisaidien

nifanyeje?nisaidien

ajifanye kama anatatizo chuoni. Amuombe mzazi mwenzaka wasogeze mbele tarehe ya ndoa. Lengo ajifungue kwanza ndipo wafunge ndoa. Kuhusu baba ajulishwe baadae ndoa ikiwa imeisha fungwa. Kwani tatizo limekwisha tokea tayari.
 
Nin kaz ya mama..ambembeleze chumbani kitaeleweka tu!
Wish u lucky..bytheway mdingi katokea pande za kaskaz nin,mkolon anaonekana.
Umejuaje?yaan full kaskazin..illa nimepata ushauri mzuri kumbe watu wakitulia wanatema madini tupu.be blc al
 
kwani mzee hakuhusishwa katika hatua ya awali ya kutambulishwa mchumba na kupokea mahari?
 
Back
Top Bottom