jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
Sasa kanzu si ndo itakua kama "DELA"..NA UNAJUA HATARI ZA DELA BALAAAA..!!!Vaa kanzu
mlege umenishindagaaa ndugu yanguPiga mlege utopata iyo shida tena
Wanajamvi,
Naombeni mnisaidie,
Nifanyeje ili nguo isiwe na mnato yaani kuna neno wanasemaga sijui 'kushunta', jina lake silijui vizuri ila napata shida sana especially nikivaa pensi yaani nikikaa lazima pensi iingie kalioni, yaani nakosa hadi amani nikiwa mbele za watu manake ukisimama suruali unakuta imeingia hata kama nimevaa boksa.
Wapendwa nisaidieni.
Mambo asee..tafadhali hayo Maandishi namna unakoleza rangi.Fanya juhudi ya kupunguza uzito/unene ili uepukane na hiyo adha.