Nifanyeje nisiwe na nguo mnato?

Nifanyeje nisiwe na nguo mnato?

Status
Not open for further replies.

jerry joshy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
402
Reaction score
504
Wanajamvi,

Naombeni mnisaidie,

Nifanyeje ili nguo isiwe na mnato yaani kuna neno wanasemaga sijui 'kushunta', jina lake silijui vizuri ila napata shida sana especially nikivaa pensi yaani nikikaa lazima pensi iingie kalioni, yaani nakosa hadi amani nikiwa mbele za watu manake ukisimama suruali unakuta imeingia hata kama nimevaa boksa.

Wapendwa nisaidieni.
 
Bwahahahahaha umenifanya nicheke mkuu,.. Sijui nikusaidieje, itakua izo nguo unazovaa ni ndogo zinabana tafuta nguo ambayo inapwaya kidogo
 
Fanya juhudi ya kupunguza uzito/unene ili uepukane na hiyo adha.
 
Wanasema mtu anayekutana na hiyo hali ni mbea (joking)

Km mkuu umejua issue ni bukta kwann unaendelea kuvaa. Au huvai ni pichu??
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Picture please! ili wataalamu kwenye sekta hii wakupe msaada wa haraka.

Back
Top Bottom