Basi panjabijaman hivi chupi zipo si ndo zinazamaaa kabisaa hizo
MUELEKEZE MWENZIO BASIII....!!![emoji1] [emoji1]SIMPLE SANA
For sureSomething is wrong
Punguza uneneWanajamvi,
Naombeni mnisaidie,
Nifanyeje ili nguo isiwe na mnato yaani kuna neno wanasemaga sijui 'kushunta', jina lake silijui vizuri ila napata shida sana especially nikivaa pensi yaani nikikaa lazima pensi iingie kalioni, yaani nakosa hadi amani nikiwa mbele za watu manake ukisimama suruali unakuta imeingia hata kama nimevaa boksa.
Wapendwa nisaidieni.