Nifanyeje nisiwe na nguo mnato?

Nifanyeje nisiwe na nguo mnato?

Status
Not open for further replies.
Ikubali hali yako pambana nayo,usikose amani kwa sababu tu hufanani na wengine
 
Waone watani zangu wapare wakushonee yale masuruali yao mapana kama kitambaa cha mashine ya kusaga au nyanyapuza wakudizainie mshono maridhawa, tatizo litaisha kabisa!!!
 
Mkuu uwe unavaa pensi nyingine ndani, yaani boxer, pensi halafu ndo pensi kubwa au suruali au laa kabla hujanyanyuka uwe unaivuta kimtindo nguo yako
 
fanya mazoezi upungue ndugu unajinenepea kwan unafugwa kwa ajili ya nyama ? mwanaume unanenepaje kihivyoooo ?
 
Dawa ni kufanya mazoezi Magumu, kuweka mwili IMARA.

Na hii itakusaudia kuondoa dhana mbaya kwa jamii inayo kuzunguuka.

Ugonjwa huu haukubaliki, hivyo chukua hatua sasa...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nilikushauri usiukate ule mkia wako unaona sasa madhara yake inabidi uanze kuvaa boksa za ngozi ya faru
 
utakuwa na msambwanda mkubwa na umelegea vaaga jeans na cadet ni ngumu hazitaingia uko
 
Ndg zanguni tujihadhar na Michango yetu kwa yeyote yule anae Post na tumuelewe Mtoa hoja kipi haswa anachotaka kusaidiwa/KuShauriwa..isiishie 'kumshtum mtu na Kumdhihaki ikiwa hatumjui ipasavyo kama wengi Wetu walivo changia hoja hii hapa,hapa wako na Id"fake n.k...ilhali kadhalika..

Ikumbukwe kila Tamshi lako ulitoalo toka ktk Kinywa chako ndicho ulicho Kifikri..ivo tusiruhusu Fikra zetu kimaandishi zidharaulike Kijamii..
thankx..Busara itumike Wakuu
 
Wanajamvi,

Naombeni mnisaidie,

Nifanyeje ili nguo isiwe na mnato yaani kuna neno wanasemaga sijui 'kushunta', jina lake silijui vizuri ila napata shida sana especially nikivaa pensi yaani nikikaa lazima pensi iingie kalioni, yaani nakosa hadi amani nikiwa mbele za watu manake ukisimama suruali unakuta imeingia hata kama nimevaa boksa.

Wapendwa nisaidieni.
Punguza unene
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom