Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 545
- 1,908
Wakuu nimeshindwa nimejaribu we nimeshindwa aisee bwana mimi nina tamaa sana ya wanawake kiufupi nina tamaa sana ya mademu kwa mfano nikiwa kwenye kutibu natongoza sana wanawake na kweli nawapata na kuwakula hivyo hivyo kwa ndugu za wagonjwa natongoza kwasababu wengi wanajilengesha sana na wanajipendekeza sana kitu ambacho nakifanya nisiwaache najikuta nawakula hivi hivi yaani kitendo cha kuchukua namba tu imoooo sasa hiii hali inanikera na kunichukiza sasa sijui nifanyeje aisee.
Yaani wanawake wengi sana wakiona nguo nyeupe wanapagawa sana aisee ndiyo maana wanaliwa sana na watumishi wa Afya simple sana aiseee....
Yaani wanawake wengi sana wakiona nguo nyeupe wanapagawa sana aisee ndiyo maana wanaliwa sana na watumishi wa Afya simple sana aiseee....