Nifanyeje nizoeane na majirani?

Wanunulie wanao wa kiume mpira itafanya kuzoeana na watoto wa jiran na ndio mwanzo wa wazaz kufahamiana
Nilifanya hivyo..ili kumfanya mwananngu achanganyike wenzake...nilinunua mipira na baiskeli..so ikawa inawafanya watoto wengi wa mtaani kuja kucheza kwangu..ikifikia wakti almost watoto wa mtaa mzima wanakuja kwamgu kucheza...kutokana na kelele na fujo majirani wakaanza maneno maneno..nikaamua kuanza kuwapiga stop..kwa kifupi majirani ishi nao kistaa..kwasasa hv nahisi ni baba nayefahamika kuliko wababa wote mtaani..maana sijui nipite wapi bila watoto kuniita
 
Mkuu utakua haunywi bia. Baa za apo maeneo ya nyumbani lazma majirani zako wanakuwepo wakicheki mpira au kipiga moja mbili siku za weekend. Sema itakua hutoki toki. Toka nenda baa ya apo mtaani au bile visehem bina frame mbili tatu kaa agiza bia kadhaa piga kila siku utawaona tu watu wa kitaa na mtafaamiana. Acha kujifungia ndani ka utumbo
 
Kama Kuna vibinti vya shule changamukia mmoja mpe ujauzito majirani watakufahamu tu na mtafahamiana zaidi
 
Kuna siku utawajua tu yani inashindikana hata siku moja kwenda kusalimia majirani mm nakaa changanyikeni kidogo halafu sinaga stori na mtu siku mojamoja nanunua utumbo wambuzi navichwa nachemsha halafu naita majirani wanakuja tunajumuika nafamilia yangu tunapata supu kila anafurahi baada yahapo sina mda namtu
 
Kunaraha sana kuishi namajirani vizuri wengi roho mbaya zinawasumbua eti mnaogopa ugomvi nausumbufu hao wake zenu waume zenu watoto wenu hamgombani?
 
Weekend moja vaa shanga kiunoni Kisha tembea utupu nyumba moja baada ya nyingine kujitambulisha.
 
Mkuu umeathirika na Maisha ya uswahilini, Kama nini rudi Tandale tu
 
Kuna jamaa mmoja nadhani ni mgeni kwenye eneo hili, yeye amejijengea utaratibu wa kugawa pipi kwa watoto wa mtaa mzima. Mwaka unaende kukatika sasa lakini amekuwa maarufu kwa watoto wa mtaani na hata mitaa mingine ya jirani. Kwenye begi lake anatembea na fuko la pipi akiwagawia watoto kila anapowaona.... Ukisikia Babuu!.. Babuu!... ujue tu anafanya shughuli yake ya kukusanya watoto kama mpiga filimbi wa Hamelin.
 
Jamaa mbunifu
 
Andaa party au chakula cha jioni waalike waje kujumuika nyumbani kwako. Hawezi kosekana hata mmoja
 
Upatapo mda hasa mwisho wa wiki jaribu kuwasalimia majirani, kumbuka ndugu yako ni yule uliye nae karibu.
 
Wao mbona hawajali kujuana na wewe mkuu? Think twice, your side has a price too.

By the way, naomba msaada wa ajira wakuu wangu TheChoji na Mtukutu wa Nyaigela

Ndugu yenu huu ni mwaka wa 6 nahangaika mtaani
 
Kind of life I like

Pambana mkuu utoe toe salamu upate namba, ucoment status zao na mtajikuta mmezoeana.

Ila kwa upande wangu nachagua kujitenga
Mbaya sana majambazi wakikuingilia?[emoji848]
 
Hii ni kweli ni zaidi ya hatari...Kuna mmoja alikuwa hasalimii majirani zake siku yuko kazini nyumba ikapata shot ikaungua na watoto na housegirl wakafia ndani majirani walimute
 
Kind of life I like

Pambana mkuu utoe toe salamu upate namba, ucoment status zao na mtajikuta mmezoeana.

Ila kwa upande wangu nachagua kujitenga
Unajitenga kwasababu ni mchawi... Mtanzania halisi hawezi jitenga.. Wachawi tuu ndio wanajitenga
 
Nashukuru mkuu, hili na mimi nimeliona sema sasa changamoto ni jinsi ya kujizoesha kwa watu usiowafahamu. Ningekua mtu wa ulabu labda ingesaidia maana wengi ningekutana nao ila sasa mimi ni mzee wa nyuki.
Wagongee uwasalimie utakuwa umeondoa ile kuwa unajidai
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…