💯💯Umekua sasa.Hata kula utapunguza kiwango.
NB-Pozi lako limekubalika sana hapo pichani.
Nenda Hospitali ukacheki Afya.💯💯
Ni kwel, hata mimi siku hiz sex imenitoka kabisa.
Na suala la kula linanitoka every day.
Yan kwa mfano siku ya j4 na alhamis nakula mara 1 tu tena usiku napo ni chai na bites.
Fanya mambo mengine,Sijui siku hizi nimekuwaje wakuu.
Yaani ngono hainipi ule utamu niliokuwa naupata zamani kwanzia 2023 kurudi nyuma yaani kwanzia mwezi wa 10 hadi huu wa 11 nimesex mara 22 lakini niliyoifurahia ni hizo 1-4 basi kwanzia 5-22 ile raha ya mshindo na mwili kusisimka sina kabisa asee sasa sijui ni mwili kuzoea hili tendo au ni nn sijui hata
Usiku huu nimepiga kimoja ila sijasisimka kiivyo yaani ni kawaida tu kwangu ubaya wa hii hali inataka nitafute kitu kingine kitachakonipa furaha(dopamine) japo situmii pombe au sigara. sijui ni kitu gani kitanipa raha tena!
Naombeni ushauri wanaume wenzangu hili lishawahi kukutokea?
View attachment 3144750
Hiyo ni Chai nusu mkuu,amesahau tu kuweka Sukari.Mwezi wa 10-11 imesex mara 22, umeoa? hata chakula ukizidisha kina jinai, ngono ukizidisha uzito unapungua.
Na hiyo mara 22 ni kwa mwanamke mmoja??
Huyo ana Stress ndio zinamsumbua.Lipa madeni na mikopo yote utakuja kunishukuru
Uko sahihi nduguHuyo ana Stress ndio zinamsumbua.
kwani hizo mara 22 kasema ni kwa mwanamke mmoja?Badil mwanamke
Hana hobby nyingine, shida yetu ngono imekuwa hobby...Acha uasherati, uoe sasa
Nahis Ila kwa tofaut tofaut na wapya lazima mzuka uwepokwani hizo mara 22 kasema ni kwa mwanamke mmoja?