Nifanyeje sex hainisisimui kama zamani

Mwezi wa 10-11 imesex mara 22, umeoa? hata chakula ukizidisha kina jinai, ngono ukizidisha uzito unapungua.

Na hiyo mara 22 ni kwa mwanamke mmoja??
Sijaoa mkuu hiyo ni kwa wanawake tofauti tofauti
 
Inabidi ufanye reprogramming ya hisia then u back into fcuk business
 
Mkuu hilo ni swala la kawaida sana hasa kama umeshafanya mapenzi mara nyingi,

Cha kufanya hapo ni kutafuta pesa halafu sasa kachukue mwanamke ambaye anakuvutia zaidi na ufanye nae mambo ambayo yanakuvutia zaidi, Yaani Your fantasies
 
Asante kwa ushauri
 
Nenda Hospitali ukacheki Afya.
Ninafikiria kufanya hivyo chief. Japo physically sioni kama ni dalil zozote za kuwa mgonjwa 😂
Hiyo ya kula j4 na alhamis mara 1, ni kutokana kwamba Mwez July we had church fasting and prayers program sasa toka tumemaliza nimejikuta am living that way till now. And am comfrtable tu.
But nitakwenda kuchek afya pia
 
Badilisha demu au jaribu kula tigo mwanawane 🤣🤣🤣🤣
 
Kufanya ngono unalazimishwa....
Wewe tumia we*d utanishukuru kuinjoi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…