Tatizo la mume kwenda nje kwa wanawake ni sawa na kujikwaa cku iz. Lisikufikirishe sn. Wenzio unaowaona wana raha kiukwel wanawastiri tu waume zao.
Nina miaka 7 kwenye ndoa na watoto wa2. Niligundua mume wangu ana cheat akakiri na kuomba radhi. Mwezi sasa sitaki anisemeshe kwa mapenzi au hata aniguse nakumbuka kilichotokea na naona na huko alikuwa anafanya hayo hayo. Naumia badala ya ku enjoy. Nifanyeje niweze ku respond normal kama zamani?
Mama si lazima kukaa na mtu usiempenda!!nadhani kwa sasa huna mapenzi nae hata kidogo kwa hiyo jitahidi uachane nae na ukaanze maisha kwengine!!
jamani hamuoni wenzenu wazungu!!!???kula unachopenda mama!!Muachie mitoto yake aisome!!
NINA IMANI KABISA PAMOJA NA KWAMBA AMEKIRI NA KUOMBA MSAMAHA, INAWEZEKANA PIA ALIKUA KWENYE INITIAL STAGE YA CHEATING, KUFANYA HIVYO UNAVYOFIKILIA, ILIKUA BADO AJAVUNJA AMRI ILE YA SIX, HIVYO NAOMBA UWE NA AMANI NA APETAIT IWE PALEPALE DADA YANGU, SASA KUENDELEA KUMNYIMA NAONA NI HATARI ZAIDI.....:rain:Nina miaka 7 kwenye ndoa na watoto wa2. Niligundua mume wangu ana cheat akakiri na kuomba radhi. Mwezi sasa sitaki anisemeshe kwa mapenzi au hata aniguse nakumbuka kilichotokea na naona na huko alikuwa anafanya hayo hayo. Naumia badala ya ku enjoy. Nifanyeje niweze ku respond normal kama zamani?
Mama si lazima kukaa na mtu usiempenda!!nadhani kwa sasa huna mapenzi nae hata kidogo kwa hiyo jitahidi uachane nae na ukaanze maisha kwengine!
jamani hamuoni wenzenu wazungu!?kula unachopenda mama!!Muachie mitoto yake aisome!!
Kweli msamaha unaendana na kusahau!!!Kama uliweza kumsaheme pia jitahidi kusahau.
ahsanteni friends kwa ushauri mzuri. Nitajitahidi kusamehe completely na kusahau kwani bado nampenda sana. Pengine kweli anahitaji nafasi nyingine. Ikibidi kuachana siwezi kumuachia watoto.