Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So to you cheating is not a big deal eeh! Good for you.
Thank You Michelle. Just pray for me ni-make right decisions.
Mama si lazima kukaa na mtu usiempenda!!nadhani kwa sasa huna mapenzi nae hata kidogo kwa hiyo jitahidi uachane nae na ukaanze maisha kwengine!!
jamani hamuoni wenzenu wazungu!!!???kula unachopenda mama!!Muachie mitoto yake aisome!!
Hujamsamehe mama,ulimwambia tu umemsamehe.....
Naona una mume mwenye busara kwamba amekiri kosa,ushauri wangu usizidi kumuumiza hata kama bado inakuuma usiache hadi kumsemesha.......unless humhitaji tena,zungumzeni tu....na pengine utajua mengi na kwanini hilo lilitokea na ufanyeje lisitokee......we do not marry angels from heaven my dear.......but living necessary.........
Pole sana,kweli inaumiza hasa kama umekuwa ukitimiza wajibu wako na hukustahili hilo,ila usimpe shetani nafasi ya kumpa mumeo matamanio ya kwenda nje tena........Muombe pia Mungu akusaidie kusamehe, kikweli kwa uwezo wa kibinadamu ni ngumu.....
This is off the topic...lakini i dont see the difference between mtu akitembea nje akiwa ndani ya ndoa na mtu anayetembea kabla ya kuoa/olewa!
Commitment ya ndoa ni kulala na mtu mmoja tu au kupendana mpaka mwisho?
Which raises the next question...Upendo ni sex tu?
Anyway...u must be hurting at the moment and the way am thinking is different from many others around here! So i might not be of a great help. Ongea naye...jaribu kujenga uhusiano from the start maana inaelekea imebomoa kila kitu! Muanze kama wapenzi wapya tu, mlivyoanza zamani hizo...
Pole sanaNina miaka 7 kwenye ndoa na watoto wa2. Niligundua mume wangu ana cheat akakiri na kuomba radhi. Mwezi sasa sitaki anisemeshe kwa mapenzi au hata aniguse nakumbuka kilichotokea na naona na huko alikuwa anafanya hayo hayo. Naumia badala ya ku enjoy. Nifanyeje niweze ku respond normal kama zamani?
feel sorry for u keep prayn for him to change bz sometimes they just say sorry to cover up their mistakes..,it might not mean he wont do it again but anyhow its all abt life n we r humanbeings whom we cant predict the future of life...,by forgiving him that means u take the risk whereby two possible outcome are espected one him to reliaze his mistake and change and second is him let u get over ur anger n then go back to squire one as once a cheater alwyz.., am not scaring u dea al u need to do is too have faith that he will change for u since he loves u!!!????
Forgiving is easier. Forgetting takes time. Usijilazimishe kusahau. Take your time. Pretend as if you remember nothing. Polepole utajikuta umekubali matokeo. Na utampenda mume wako mara mbili ya sasa ili wezi wasipate nafasi. I had similar experiance. As am writting right now I have left my hubby for a long course abroad. Wala siwazi saaana anafanya nini na nani. Nachojua ananipenda sana. Na niligundua ilo baada ya kugundua ana affair. Sometimes hao vimada wanasaidia wanandoa kutafakari upya ndoa zao. Wenzio miudenda inawatoka kama fisi anasubili kudaka mfupa, wanasubili umwache wapewe promotion. Ng'anga'na mapenzi yatarudi taratibu, ni kawaida.