Nifanyeje?

i fail to see the big deal in cheating! Wanaume na wanawake wanawaza ngono kitofauti kabisa au is it just me?
 
i fail to see the big deal in cheating! Wanaume na wanawake wanawaza ngono kitofauti kabisa au is it just me?

So to you cheating is not a big deal eeh! Good for you.
 
So to you cheating is not a big deal eeh! Good for you.

This is off the topic...lakini i dont see the difference between mtu akitembea nje akiwa ndani ya ndoa na mtu anayetembea kabla ya kuoa/olewa!
Commitment ya ndoa ni kulala na mtu mmoja tu au kupendana mpaka mwisho?
Which raises the next question...Upendo ni sex tu?
Anyway...u must be hurting at the moment and the way am thinking is different from many others around here! So i might not be of a great help. Ongea naye...jaribu kujenga uhusiano from the start maana inaelekea imebomoa kila kitu! Muanze kama wapenzi wapya tu, mlivyoanza zamani hizo...
 
sio kweli kwmaba hampendi, lazima ijulikne sababu ya kutoka nje, kuachana sio suluhisho la tatizo.kama hakumpenda basi asinge muoa
Mama si lazima kukaa na mtu usiempenda!!nadhani kwa sasa huna mapenzi nae hata kidogo kwa hiyo jitahidi uachane nae na ukaanze maisha kwengine!!
jamani hamuoni wenzenu wazungu!!!???kula unachopenda mama!!Muachie mitoto yake aisome!!
 

heri wapatanishi maana watauona ufalme wa Mungu!
Unaonekana una busara sana, Michelle!
Asante sana kwa ushauri na moyo unaompa huyo dada:clap2:
 

Thanks anyway.
 
feel sorry for u keep prayn for him to change bz sometimes they just say sorry to cover up their mistakes..,it might not mean he wont do it again but anyhow its all abt life n we r humanbeings whom we cant predict the future of life...,by forgiving him that means u take the risk whereby two possible outcome are espected one him to reliaze his mistake and change and second is him let u get over ur anger n then go back to squire one as once a cheater alwyz.., am not scaring u dea al u need to do is too have faith that he will change for u since he loves u!!!????
 
Forgiving is easier. Forgetting takes time. Usijilazimishe kusahau. Take your time. Pretend as if you remember nothing. Polepole utajikuta umekubali matokeo. Na utampenda mume wako mara mbili ya sasa ili wezi wasipate nafasi. I had similar experiance. As am writting right now I have left my hubby for a long course abroad. Wala siwazi saaana anafanya nini na nani. Nachojua ananipenda sana. Na niligundua ilo baada ya kugundua ana affair. Sometimes hao vimada wanasaidia wanandoa kutafakari upya ndoa zao. Wenzio miudenda inawatoka kama fisi anasubili kudaka mfupa, wanasubili umwache wapewe promotion. Ng'anga'na mapenzi yatarudi taratibu, ni kawaida.
 
Pole sana
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…