moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Subiri arudi ndio uiingize ndaniNimenunua frig jipya lkn wakat wa kulishusha kuliingiza ndan jiran yangu alikuwa hayupo hebu niambieni nifanye nini ili ajue km nna frig ndan [emoji855][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie dereva wa gari apark mlangoni kwa jirani mpaka arudiNimenunua frig jipya lkn wakat wa kulishusha kuliingiza ndan jiran yangu alikuwa hayupo hebu niambieni nifanye nini ili ajue km nna frig ndan [emoji855][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Frig ni kifaa cha kuhifadhia maiti!Nimenunua frig jipya lkn wakat wa kulishusha kuliingiza ndan jiran yangu alikuwa hayupo hebu niambieni nifanye nini ili ajue km nna frig ndan [emoji855][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tegea akirudi ulitoe nje uwe unalisafisha huku unaimba nyimbo za taarabu zenye vijembe.Hautojuta!Nimenunua frig jipya lkn wakat wa kulishusha kuliingiza ndan jiran yangu alikuwa hayupo hebu niambieni nifanye nini ili ajue km nna frig ndan [emoji855][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
wee jamaa kweli halichachi!Nimenunua frig jipya lkn wakat wa kulishusha kuliingiza ndan jiran yangu alikuwa hayupo hebu niambieni nifanye nini ili ajue km nna frig ndan [emoji855][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app