moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Nimenunua frig jipya lkn wakat wa kulishusha kuliingiza ndan jiran yangu alikuwa hayupo hebu niambieni nifanye nini ili ajue km nna frig ndan [emoji855][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app