soda ya kopo
New Member
- Oct 11, 2011
- 1
- 0
Sasa unaomba ushauri upi wakati tatizo unalijua ni govi. Chagua moja mila au uondoe hilo govi lako uanze maisha mapya katika mapenzi ambapo utapendwa na kuanzisha familia.Jamani naingia kwenye hili jamvi nikiwa na masikitiko makubwa.mwenzenu nina tatizo ktk mahusiano yangu ya kimapenzi,mwenzenu nina tatizo la kuachwa na wanawake kisa kwamba sijatoa go**i na kwenda kutoa hospital mila zetu haziruhusu mchango wenu tafadhari wadau!
Jamani naingia kwenye hili jamvi nikiwa na masikitiko makubwa.mwenzenu nina tatizo ktk mahusiano yangu ya kimapenzi,mwenzenu nina tatizo la kuachwa na wanawake kisa kwamba sijatoa go**i na kwenda kutoa hospital mila zetu haziruhusu mchango wenu tafadhari wadau!
Msaidie anaweza kuwa poti wako huyo tumkamate tumpeleke Mbeya wakale kichwa hicho, akirudi amezaliwa upya tehe tehe tehe tehe.Sasa kuliondoa unaona nn au unalipenda ww sema!!
Yaani umri wa kufanya mapenzi bado familia wanachungulia makazi yako yapo vipi??
Hata huko kwao watakuwa wameshaelimika, hawataki tena wanaume wenye mkono wa sweta. Kwanza nashangaa mtu ambaye ana kadalili ka shule kushindwa kuelewa jambo dogo kamq hili, kwamba mkono wa sweta ni kama mfuko wa uchafu. Hivi kama mila ya huyo jamaa ingekuwa inakataza watu wasipige mswaki kwa mantiki meno yataisha asingepiga ilali adumishe mila?Sijui tuseme huwa wanakaguliwa au wanachunguliwaga?? Watu wengine ni kama wanaleta utani kusema kweli! Sasa huyu hapa utamsaidia nini ilhali ashajua tatizo ni govi (full uchafu), tena ni halifai kwa afya! Kulitoa hataki anaogopa mila, now what next akaoe kwao!!!