Nifanyeje?

Nifanyeje?

soda ya kopo

New Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Jamani naingia kwenye hili jamvi nikiwa na masikitiko makubwa.mwenzenu nina tatizo ktk mahusiano yangu ya kimapenzi,mwenzenu nina tatizo la kuachwa na wanawake kisa kwamba sijatoa go**i na kwenda kutoa hospital mila zetu haziruhusu mchango wenu tafadhari wadau!
 
21century unatembea na gov*i ni girl gani atafurahia huo uchafu....kama vipi mtafute tu kwenye kabila lako.
 
Hata huoni aibu kutembea na huo uchafu?
 
kaoe kabila lako. La nenda kakatwe kaka, huo ni uchafu tu. Kuna umuhimu wa kutafakari baadhi ya mila yenye manufaa iendeleze na zisizo na manufaa mziache. La wataendelea kukumwaga
 
Jamani naingia kwenye hili jamvi nikiwa na masikitiko makubwa.mwenzenu nina tatizo ktk mahusiano yangu ya kimapenzi,mwenzenu nina tatizo la kuachwa na wanawake kisa kwamba sijatoa go**i na kwenda kutoa hospital mila zetu haziruhusu mchango wenu tafadhari wadau!
Sasa unaomba ushauri upi wakati tatizo unalijua ni govi. Chagua moja mila au uondoe hilo govi lako uanze maisha mapya katika mapenzi ambapo utapendwa na kuanzisha familia.
 
kwani wewe hujui kuwa linaficha madudu yanayoleta maradhi
kwa miaka hii unatembea na mfuniko wa soda ya kopo, pole zako.
 
Jamani naingia kwenye hili jamvi nikiwa na masikitiko makubwa.mwenzenu nina tatizo ktk mahusiano yangu ya kimapenzi,mwenzenu nina tatizo la kuachwa na wanawake kisa kwamba sijatoa go**i na kwenda kutoa hospital mila zetu haziruhusu mchango wenu tafadhari wadau!

Sasa kuliondoa unaona nn au unalipenda ww sema!!
 
Yaani umri wa kufanya mapenzi bado familia wanachungulia makazi yako yapo vipi??

Sijui tuseme huwa wanakaguliwa au wanachunguliwaga?? Watu wengine ni kama wanaleta utani kusema kweli! Sasa huyu hapa utamsaidia nini ilhali ashajua tatizo ni govi (full uchafu), tena ni halifai kwa afya! Kulitoa hataki anaogopa mila, now what next akaoe kwao!!!
 
Du pole sn unasema mila haziruhu kukatwa hospitalin basi kakatwe kimila,au tafuta wa kabila lenu anaekubaliana na huo uchafu otherwise uwe mseja!kuna mambo yakuvumiliana ila sio hilo!
 
Sijui tuseme huwa wanakaguliwa au wanachunguliwaga?? Watu wengine ni kama wanaleta utani kusema kweli! Sasa huyu hapa utamsaidia nini ilhali ashajua tatizo ni govi (full uchafu), tena ni halifai kwa afya! Kulitoa hataki anaogopa mila, now what next akaoe kwao!!!
Hata huko kwao watakuwa wameshaelimika, hawataki tena wanaume wenye mkono wa sweta. Kwanza nashangaa mtu ambaye ana kadalili ka shule kushindwa kuelewa jambo dogo kamq hili, kwamba mkono wa sweta ni kama mfuko wa uchafu. Hivi kama mila ya huyo jamaa ingekuwa inakataza watu wasipige mswaki kwa mantiki meno yataisha asingepiga ilali adumishe mila?
 
napita tuu hapa maana mambo mengine hata sio ya kuomba ushauri yaani unaona kabisa njia ile unaulizia njia iko wapi
 
Dondosha mkono mkono wa sweta wewe acha hizo bana
 
Lakini jamani mbona wanawake wengine wanafagilia sana hii kitu? msimkatishe tamaa bana wako wanawake wanapenda sana za hivo.
 
Back
Top Bottom