Nifanyeje

Nifanyeje

sister

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
9,014
Reaction score
6,847
ninampenda causine wangu. yani mabibi zetu wamewazaa wazazi wetu hafu wazazi wetu wametuzaa sisi watoto. watoto ndo tunapendana. nifanyeje jamani naomba ushauri wenu.
 
Yaani umekosa kabisa mwanaume mwingine?? Mweehh Dunia hii ina mambo
Lakini kuna makabila yanaruhusiwa kuoana mabinamu...........................
Kama ruhusa poa tu

Swali la kizushi: Na huyo binamu nae anakupenda kama vile wewe unavyompenda??
au ni kwasababu wewe umempenda?? (Si lazima ujibu)
 
twapendana, kabila letu haliruhusu kabisa hayo mambo.
 
twapendana, kabila letu haliruhusu kabisa hayo mambo.

Mtakua wachaga tu nyie!Anway,nenda kwenye kitabu cha iman yenu mkaangalie kinasemaje kuhusu hii kitu!
 
Temana na huo mpango kabisa tena kemea kwa nguvu zote, au umeshavunja amri ya 6?
ninampenda causine wangu. yani mabibi zetu wamewazaa wazazi wetu hafu wazazi wetu wametuzaa sisi watoto. watoto ndo tunapendana. nifanyeje jamani naomba ushauri wenu.
 
tafuta mwanaume mwingine achana na binamu yako ipo siku utashindwa kutoa maamuzi muhimu pale itakapohusisha familia zenu
 
Inategemea umetoka jamii gani huyo mnaoana kabisa tena kwa ridhaa tha wazazi woote. Anti angu aliolewa na binamu.
 
me naona kubali kumkosa huyo binamu kwa sababu kutakuwa hakuna baraka za wazazi
 
Kweli PENZI M.A.T.A.K.O YA MWEHU!Halichagui pa kukaa.Achana na binamu penda mwingine ili nafsi yako iwe huru.
 
..kupenda c kosa na mwaweza fanya juu chini muoane,lakini bila ridhaa ya wazazi nini mana yake?..mtakuwa mmefanya upuuzi tu na kuleta mikosi na laana tele cku zenu za usoni,hata kama binamu ndo mdondosha UA mwache aende zake though cku za usoni nafasi ya kupasha KIPORO ipo..
 
hivi huyo atakuwa ni binamu kweli....?.....mi naona kama ni kaka vile......
yeye amekuambia anakupenda...?....au ni wewe umeamua kumzimia kiaina.....?
 
Kwenu yaruhusiwa mambo ya "Binamu nyama ya hamu"????!!!
 
twapendana, kabila letu haliruhusu kabisa hayo mambo.

sasa kama kabila lenu haliruhusu huo upuuzi unataka tukushauri nn?tukushauri udharau mila na desturi za kwenu?hauko makini sister!!usitufanye tukiuke maadili ya kwenu!!
 
ninampenda causine wangu. yani mabibi zetu wamewazaa wazazi wetu hafu wazazi wetu wametuzaa sisi watoto. watoto ndo tunapendana. nifanyeje jamani naomba ushauri wenu.

ni pm nikupe mwongozo ..!
 
Back
Top Bottom