Nifanyeje

TZ boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
629
Reaction score
183
Jamani nilikuwa na mchumba wangu siku si nyingi zilizo pita lakini siku zilivyo endelea mbele nikaja kugundua sio mwaminifu kwangu nikimuuliza swala lolote lile anakuwa mkali na kuniambia eti nisimchangaye kwani kuna wanaume wangapi leo nika jitutumua na kwumwambia kuanzia leo tuachane akaitikia kwa upole nika ondoka lakini roho inaniuma na mimi nachotaka ni kumsahau na kuchukulia kitu cha kawaida na shidwa nifanyeje kupunguza hizi stress msaada jamani kaka zangu na dada zangu?
 
pole, ndo unakua hivyo.

Hiki ni kipimo chako cha ukomavu, kama angekuwa hata anakuheshimu kidogo achia mbali kukupenda asingekuacha uende kirahisi hivyo.
 
hahaha pole ndio ukubwa huo.unapenda uspopendwaee?inamaana huoni wengine wazuri mpaka ugandishe mawazohapo?tafuta kitu bomba zaidiyake.
 
jamani siku hizi jf kila ishu ni ya kutaka msaaada wa ushauri,wakati mwingine muwe mnarefer ushauri waliopewa wengine kwsbb kuna topic nyingi sana humu za namna hii.But pole sana kwa yaliyokukuta,ndo ukubwa huo kaka.
 
wengi sana wako wanatafuta angalau mtu wa kuwa nae so ww endelea na uamuzi wako bana hii dunia imejaa wengi so usiogope hata ikibidi badili kila baada ya miezi mitatu
 
nunua gari kisha tafuta demu mkali kuliko yeye, pia acha kwenda sehemu ulizokuwa ukienda naye
 
Mi sitaki demu mwingine coz wote ni wale wale tu kinacho niuzi ni kuka namfikiria mi nataka kumsahau kabisa ila nashidwa hapa ndo mtihani au kaniloga!!!
 
Tatizo mnabeep..
Ukishaamua kumtema demu/mume simamia maamuzi yako..
By the way hata ufanyaje lazima ikuume kwa mwanzoni..taratibu tu utasahau!!
 
Mi sitaki demu mwingine coz wote ni wale wale tu kinacho niuzi ni kuka namfikiria mi nataka kumsahau kabisa ila nashidwa hapa ndo mtihani au kaniloga!!!

kama ungekua umebofya ile button sidhani kama ingekuuma kiasi hiki.. mistake ndo iyo tu
 
Mi sitaki demu mwingine coz wote ni wale wale tu kinacho niuzi ni kuka namfikiria mi nataka kumsahau kabisa ila nashidwa hapa ndo mtihani au kaniloga!!!

hujalongwa ndugu yangu...hiyo ndio nguvu ya mapenzi.
kama umeamua kuachana na huyo binti amua toka moyoni, maana ukiwa na kigeugeu hutakuja kuweza kupenda tena maishani maana utakua unacompare...
 
hujalongwa ndugu yangu...hiyo ndio nguvu ya mapenzi.
kama umeamua kuachana na huyo binti amua toka moyoni, maana ukiwa na kigeugeu hutakuja kuweza kupenda tena maishani maana utakua unacompare...

asante kaka umenipa kitu hapa thanks
 
pole, ndo unakua hivyo.

Hiki ni kipimo chako cha ukomavu, kama angekuwa hata anakuheshimu kidogo achia mbali kukupenda asingekuacha uende kirahisi hivyo.

daaah umenifumbua macho thanks
 
kama wote wawil mnapendana kwel mtarudiana coz nguvu ya mapenz ni strong inazid nguvu nyingine kwa kwel
 
Mi sitaki demu mwingine coz wote ni wale wale tu kinacho niuzi ni kuka namfikiria mi nataka kumsahau kabisa ila nashidwa hapa ndo mtihani au kaniloga!!!

Kuwa nasubira tu,utaumia saivi na baada ya mda utasahau,you only need time.
 
Trust yourself
Create D Kind Of Self that
You'll B Happy 2 Live with
All Ur life
Make D Most Of yourself
By Fanning D Tiny, inner
Sparks Of Possibility In
2 Flames Of Achievements ... 🙂

just remember
The winners of life's game aren't those
who have never tasted failure
But
Those who have tasted failure
again and again but never give up
 
pole, ndo unakua hivyo.

Hiki ni kipimo chako cha ukomavu, kama angekuwa hata anakuheshimu kidogo achia mbali kukupenda asingekuacha uende kirahisi hivyo.

mmezoea kubembelezwa, kina dada sasa mchozi basi, mtu akibeep unaitikia ameen.

No more tears ladies, wanaume wamejaa wanatafuta wakufanya nao mahusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…