TZ boy
JF-Expert Member
- Jan 11, 2012
- 629
- 183
Jamani nilikuwa na mchumba wangu siku si nyingi zilizo pita lakini siku zilivyo endelea mbele nikaja kugundua sio mwaminifu kwangu nikimuuliza swala lolote lile anakuwa mkali na kuniambia eti nisimchangaye kwani kuna wanaume wangapi leo nika jitutumua na kwumwambia kuanzia leo tuachane akaitikia kwa upole nika ondoka lakini roho inaniuma na mimi nachotaka ni kumsahau na kuchukulia kitu cha kawaida na shidwa nifanyeje kupunguza hizi stress msaada jamani kaka zangu na dada zangu?