Nifanyeje?

Nifanyeje?

chikaputula

Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
28
Reaction score
3
Wakuu,kwa wale wanaojua kuhusiana na mitihani ya weledi ya bodi ya ugavi(procurements) naomba wanijuze,

-kwa mtu aliyeishia kidato cha nne na ana matokeo ya daraja la tatu anaanza kwa kufanya mitihani ya stage gani?

-vipi kuhusu gharama(gharama za kulipia mitihani na mengineyo?

-kwa mfano,kwa mtu aliye morogoro anaweza kupata reviw classes wapi na kwa gharama gani?

-naomba kujuzwa pia vituo vya mitihani vinapatikana mikoa ipi ikibidi na maeneo?

AKHSANTENI KWA KUNISAIDIA.
 
Back
Top Bottom