mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Hajakujua kwamba na wewe ni bomba kinoma ha ha ha ha.mweee matusi mengine ni ya reja reja khaaa [emoji144]
Huyu kaka yangu usipomjua unaweza kujinyonga [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha jaman Yesu wangu wacha mie niongeze siku za kuishi taratibu mkuu warembo watakupopoa na mawe
Wacha kunyatia mali za watu kisanii ww100%
Subiri leo jioni tukutane kule kwenye sports mkuu,baada ya mechi kati yetu na Mbeya City uniulize hilo swali.[emoji4]Vp kale kakibanda kenu pale jangwani hakajauzwa tu?
Hahaaa muda huo utakuwa na machungu, nahisi utalala na viatu leoSubiri leo jioni tukutane kule kwenye sports mkuu,baada ya mechi kati yetu na Mbeya City uniulize hilo swali.[emoji4]
Wii usipoizoea hii hali ni zaidi ya hatari. Hujawahi kusikia watu wakijiua sababu ya bullying kwenye mitandao?Achana nao wiiiii ilimradi anayekupenda hajakwambia hvyo enjoy bwana, ila watu basi tu
Nafahamu wifi yangu,hahahah mrembo wetu wa kimasai , sie twakupenda mamy usijaliWii usipoizoea hii hali ni zaidi ya hatari. Hujawahi kusikia watu wakijiua sababu ya bullying kwenye mitandao?
Kwangu mimi kheri tu as long as kila dakika Bold ananiambia ni-mrembo kuliko wanawake wote duniani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120]
Usijali [emoji4]Nitakuwepo huko, kikubwa muwe wapole tu leo
Thanks Wii,nawapenda zaidi [emoji8]Nafahamu wifi yangu,hahahah mrembo wetu wa kimasai , sie twakupenda mamy usijali
Dogo uko na nidham sana. Nafuatilia majibu yako nimegundua ni kweli una subira. Endelea hivyo hivyo utapata zaidi ya NifahSawa mkuu nimekubali kosa
Ikoje hio?Mh! Ulishaona picha za miss natafuta af uka-compete?
umetisha mkuuKwa ' Shemela ' la Kilimanjaro Nifah huyo uliyemtaja ' anasubiri ' Mkuu. Ukiona Kitu hadi GENTAMYCINE anakisifia basi jua hata kwa Mwenyezi Mungu kimeshapitishwa na kubarikiwa. JF Mwanamke ' Mnyange / Mrembo ' ni Nifah peke yake na waliobaki ni ' Makatuni ' tupu hutaki ' Kajiteke ' mwenyewe Ununio kisha ' Jitese ' halafu tuje tukuokote Mahaba beach.
Mkuu kumbuka gari mbovu huvutwa na gari jipyaNaanza sasa kuamini kuwa yawezekana Nifah akawa ndiyo Mwanamke ' Mrembo ' humu JF kuliko wote ambao naamini wengi wao ni ' Magari ya Mkaa '.
Wewe mtoto hujamboNafahamu wifi yangu,hahahah mrembo wetu wa kimasai , sie twakupenda mamy usijali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiiiii jamani ni nini hiki mtatuua kwa kucheka jamaniianavigimbi huyo hatari
mwembamba mpaka mkoba wake ameujaza mawe upepo ukija asipeperuke
jk
Sijambo kabisaaa sijui wwWewe mtoto hujambo