MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
unamuogopa nani ?Wewe hunitakii mema eti???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unamuogopa nani ?Wewe hunitakii mema eti???
Shukraan broh [emoji120]Niffah ni mrembo na upstairs kuko vizuri, hapo mkuu the bold ameokota Diamond ni juu yake kuitunza...she's " Iron Lady", ukiwa nae na ww mpambanaji lazima utawin tu.. hongereni.
She is beautifully, kila kitu anacho kwa kiasi kinachotakiwa, hajazidisha wala hajapunguza, sura nzuri, rangi ya mtume, hips huulizi, hiyo kwenye emoji zako imekaa muundo fulani amaizing, goti akivaa kimini na wewe ndio mme wako akakatisha sebuleni huku umekaa, ukiona lile goti hata kama alikua anawahi mazishi utamrudisha kitandani mmalizane kwanza,mguu anao wa Wine pamoja na Whisky. Inshort ni msichana anayeweza kumvutia kila mwanaume bila kujali anaakili timamu au chizi.
Sio gauni tu pia tatoa show ya bure kucheza kwaito, Najua harusi itakua kati ya Arusha, Moro na Dar.Dah,asante sana mkuu,sio kwa compliments hizi.
Shukraan
BTW bado naikumbuka ahadi yako ya gauni endapo niki-conceive [emoji85]
Kama hiyo avatar ni yako basi sio wa kawaida kama unavyojiona.Mimi wa kawaida sana mkuu,huwezi kuamini ukiniona.
Woooooow siwezi kusubiri hahahaSio gauni tu pia tatoa show ya bure kucheza kwaito, Najua harusi itakua kati ya Arusha, Moro na Dar.
Kiustaarab huwezi kujisifu kwa uzuri/urembo...acha watu wakusifu hahahaKama hiyo avatar ni yako basi sio wa kawaida kama unavyojiona.
Naanza sasa kuamini kuwa yawezekana Nifah akawa ndiyo Mwanamke ' Mrembo ' humu JF kuliko wote ambao naamini wengi wao ni ' Magari ya Mkaa '.