Kwa nyadhifa aliyo nayo waziri mkuu, hakukuwa na haja ya kumtaja Niffer, halafu dogo mbona DAGAA tu! Wanamuonea, na waziri mkuu hajafanya poawaziri mkuu alipaswa kutamka wanaochangisha fedha wasitishe na walizochangisha wazikabidhi, bila kumchafua mtu wala kumdhalilisha