Kwa nyadhifa aliyo nayo waziri mkuu, hakukuwa na haja ya kumtaja Niffer, halafu dogo mbona DAGAA tu! Wanamuonea, na waziri mkuu hajafanya poawaziri mkuu alipaswa kutamka wanaochangisha fedha wasitishe na walizochangisha wazikabidhi, bila kumchafua mtu wala kumdhalilisha
Inajitaji mnyukano mkubwa sana kisheria, je kwani hao wahanga wa Kariakoo sio wahitajiKına Malisa wana foundation , lakini pia hawa changii maafa , wanachangia watu wenye uhitaji
Dada wa mjini.Kwahiyo yeye ni nani? Ila mshanduaji!
Nimeikuza ili niisome kwa ufasaha.waziri mkuu alipaswa kutamka wanaochangisha fedha wasitishe na walizochangisha wazikabidhi, bila kumchafua mtu wala kumdhalilisha
Nimasuala ya uchumi, huyu mwalimu wa mwandiko tukimchekea atatuvurugia uchumi, ifike sehemu tuheshimiane. Wakati mzee bilikwija anamsaidia mwalimu nyerere kuondokana na hali ngumu ya uchumi nyie mlikuwa hamjazaliwa.Nimeikuza ili niisome kwa ufasaha.
Kwamba wewe “eddy John Doe wa JF unamfundisha Waziri Mkuu wa JMT mwenye makamu Waziri mkuu ndani ya Ofisi yake namna ya kufanya kazi?
Tena unadiriki kumpangia cha kusema na namna ya kukisema? Okay.
Wewe ndio ulimshauri huyo Niffer atoe yale majibu kwa Waziri mkuu.
Mmeota majipu makwapani.
Malizia mdangajiDada wa mjini.
WAPIGA HELA HAOaanzishe foundation kwa ajili ya kuchangisha tu kwenye matukio, au sijamuelewa Jeni
Kwahiyo Kama tulikua hatujazaliwa ni haki yenu kugeuza mamlaka na majukumu ya nchi kuwa mambo ya kishkaji kisa babu zenu wamejuana ujanani?!Nimasuala ya uchumi, huyu mwalimu wa mwandiko tukimchekea atatuvurugia uchumi, ifike sehemu tuheshimiane. Wakati mzee bilikwija anamsaidia mwalimu nyerere kuondokana na hali ngumu ya uchumi nyie mlikuwa hamjazaliwa.
sikiliza kila mji unawazee, mamake niffer ni boss WFP na mwaka huu mnanjaa mvua zimedinda, mtaenda kuomba msamaha kwa kutambaa kama hamjapewa masharti ya kuoana wanaume ndo mpewe chakulaKwahiyo Kama tulikua hatujazaliwa ni haki yenu kugeuza mamlaka na majukumu ya nchi kuwa mambo ya kishkaji kisa babu zenu wamejuana ujanani?!
Masuala ya uchumi ndio anayapambania huyo dada? Kwahiyo Waziri mkuu afunge ofisi aache kazi kwa sababu Jenifa anapambania masuala ya “Uchumi?
Tingisha kichwa hicho ubongo umeanza kujitenga na fuvu, unasinyaa!
Huo uboss wa mama yake umemsaidiaje binti mpaka kumpelekea kua “winga mjasili mpaka wa mwili wake mwenyewe?sikiliza kila mji unawazee, mamake niffer ni boss WFP na mwaka huu mnanjaa mvua zimedinda, mtaenda kuomba msamaha kwa kutambaa kama hamjapewa masharti ya kuoana wanaume ndo mpewe chakula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee!Malizia mdangaji
winga anatembelea Range, kweli sinza ina wenyeweHuo uboss wa mama yake umemsaidiaje binti mpaka kumpelekea kua “winga mjasili mpaka wa mwili wake mwenyewe?
Punguza kulamba makalio ya binaadam wenzako matokeo yake ile harufu ishakuvuruga ubongo unadhani kila mtu omba omba Kama wewe.
Nimefanyaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee!
Ndio maana mnabadilishwa matumizi ya viungo vyenu vya sirini!winga anatembelea Range, kweli sinza ina wenyewe
Atatoka tu, yupo central tunampelekea kuku,juice chipsi mayai kila sikuMshamtoa jela!?
Bas tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefanyaje