Inaonekana kuna baadhi wataachiwa leoKheri leo wana nuru.. Mapenzi ya Mungu yatatimizwa.. maana nywinywi ni nyingi
Amechagua njia hiyo ,wenzao akina Joram nkumbi wanachana nywele Tu. Akitaka awe chawa WA ccmMika Chavala anapikwa asiogope mateso, jela na kifo.
Kwa mapenzi ya nuumba akitoka atakuwa tayari kwa ukombozi.
Huyo dada ni muislam au mkristo?Niffer ameshika tasbih?
Mungu amsaidie, tuko pamoja nae