Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Inawezekana kwa wanomfuatilia huyu dogo ni mpambanaji sana anauza online zaidi na kila muda yupo anapost bidhaa tofautitofauti hana bidhaa za aina fulani kila kitu anauza..
 
Biashara ukiwa na juhudi lazima ufanikiwe, wanaolalamika biashara ngumu hao wazembe.

Me nilikua tu na wazo la biashara, sikua hata na mia lakini nikaweka juhudi hatimaye namiliki biashara kadhaa za mamilioni hapa mjini.
Ni kweli yani, mi nilianza na vocha ya jero tu ila sasa nina maduka matatu ya iphone mjini😀! Biashara ni imani tu jamani tusikate tamaa.
 
Niaffer ache kuwadanganya wanawake wenzake akina Jonah kila siku wanahangaika kwenye kubet wapate mitaji halafu yy elfu 40 tu imtoe kimaisha[emoji848][emoji125][emoji125]..... Awe mkweli na mtoa mada aambatanishe na picha yake ili tuone kama sehemu zake za Siri hazikuwa chanzo chake Cha mapato kufikia huo mtaji wa 150.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…