Nifuate hatua zipi kabla ya kuuza dhamana

Nifuate hatua zipi kabla ya kuuza dhamana

Sunshow

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,140
Reaction score
395
Endapo ninataka kuuza dhamana ya mdaiwa, ni hatua zipi zifuatwe. Naombeni msaada wenu.
 
Wewe unayetaka kuuza dhamana ni nani mdai?court broker au mpambe nuksi tu emu tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom