Nifuate malengo yangu au niisikilize jamii ?

Hata Engeneering unasoma physics,computer science pia ina physics japo si sana.

Ualimu utakuja kujuta kijana,sio kwa Tanzania hii.Ni vizuri kufanya kitu unachopenda lakini kumbuka kuwa tunasoma ili kuboresha maisha yetu,hivyo haina maana kusoma kitu unachopenda halafu kisije kuwa na manufaa kwako.Ualimu ni kero,efforts kubwa marejesho kidogo.

Nenda kasome actuarial science,geology au mining Engeneering maana hizo ndio zina future nzuri na wataalamu sio wengi,hasa actuarial scientist wana hitajika sana na haya mashirika ya hifadhi za jamii ila hii ni hesabu kwa sana.Geology na mining watahitajika na huu uvumbuzi wa gesi,huko physics utaikuta sana tu.
 
Soma geophysics popote for good future au bsc in physics iko pale udom but kwa future yake haiko nzuri sana unless ndo ivo uunge master direct unakuwa very marketable
 

da, kwel tz ni changamoto
 


kwanza hongera sana kwa kujua nini unapenda.. hii ni hatua muhimu sana na unaonekana si mfuata mkumbo...
binafsi nilikuwa kama wewe maana toka O-LEVEL physics ni somo ambalo nilikuwa nalipenda sana ... na nilitamani nilisome ili niwe mwanasayansi hasa kwenye nyanja ya tafiti na uchambuzi CHANGAMOTO kubwa nini ?..FUTURE YAKE NI UNCERTAIN .. nahisi hicho ndio kilichomsukuma NDUGUYO kukushauri USISOME phyics

USHAURI WANGU NI HUU...
jambo la kwanza tambua nchi hii haitambui kabisaa mchango wanasayansi.. tafiti nyingi wanafanya,,, ila hakuna utekelezaji..
pili kama wewe ni kama mimi ambao tumetokea zile familia zetu ambazo wamewekeza kwenye ELIMU tuwatoe kimasomaso..hii kozi unakuwa unacheza kamari
tatu kama unapenda kusoma PHYSICS kama hobby soma ENGINEERING ..MECHANICAL AU ELECTRICAL ENGINEERING huku applied physics yote iko(kuanzia mechanics mpaka electromagnetism,wave etc..).. pia ...
Huu ni mtizamo wangu nchi hii ingekuwa inajali watu wake mimi binafsi ningekushauri utie maguu..

ndio maana nawashauri sana VIJANA WENGI WAFANYE MAAMUZI YANAOMBATANA NA USHAURI WASIJE JUTIA MAANA HII NI HATUA KUBWA KUELEKEA MAISHA YA KUJITEGEMEA....NA MTAA NI HATARI....
 
ndg MAGANGA, nashukuru sana kwa mchango wako, hata mimi baada ya kupokea challenge kozi ya kwanza niliyowaza ni electrical, umenishawishi na nimeshawishika, ubarikiwe. lakini vipi kuhusu soko lake la ajira
 

Ndugu we usitake sifa kama watavyo hao soma unachopenda tena education iko flexible ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…