xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,289
Hata Engeneering unasoma physics,computer science pia ina physics japo si sana.
Ualimu utakuja kujuta kijana,sio kwa Tanzania hii.Ni vizuri kufanya kitu unachopenda lakini kumbuka kuwa tunasoma ili kuboresha maisha yetu,hivyo haina maana kusoma kitu unachopenda halafu kisije kuwa na manufaa kwako.Ualimu ni kero,efforts kubwa marejesho kidogo.
Nenda kasome actuarial science,geology au mining Engeneering maana hizo ndio zina future nzuri na wataalamu sio wengi,hasa actuarial scientist wana hitajika sana na haya mashirika ya hifadhi za jamii ila hii ni hesabu kwa sana.Geology na mining watahitajika na huu uvumbuzi wa gesi,huko physics utaikuta sana tu.