Nifundishen mabango ya kumchamba ex- wangu

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Jaman wakuu naona upole wangu unaniponza ni takribani mwez tangu niachane na girlfriend wangu ila cha ajabu had leo kila nikifungulia simu lazma nikute matusi na mabango kutoka kwake had naogopa kumuazma mtu sim maana ninaweza kumwazima mtu mara mabango yaanze nichekwe bure... sasa leo nimeona niwaombe wataalam wa kuchamba humu wanisaidie mabango nikamfowardie ili anikome na mimi.
 
Hivi wanaume wa hivi wapo kweli? Mtu mwenyewe mwoga sasa hata hivyo vichambo ukipewa uta vi edit viwe vichambwaza
 
Kwan kitufe cha block cha simu yako kimepotea mkuu?
Hv ni app gani ukidownload waweza m block mtu asikupate au akipiga simu iwe inakata tu kwake,naona app nyingi hata ukiblock lakini saaana itamwambia mpigaji kua simu anayopiga iko busy,kitu kinachoonyesha kua mtu huyo yupo hewani.
 
Hv ni app gani ukidownload waweza m block mtu asikupate au akipiga simu iwe inakata tu kwake,naona app nyingi hata ukiblock lakini saaana itamwambia mpigaji kua simu anayopiga iko busy,kitu kinachoonyesha kua mtu huyo yupo hewani.
Simu yako mwenywe tu inaweza kumblock sio lazma application mkuu
 
Ndugu, wewe ni mwanamume kweli?? yani mwanaume kabisa untaka umchambe x wako?? wacha upumbavu wewe..wanaume hawafanyagi hivyo, kama vipi mblock na uendelee na maisha yako..wanawake wako wengi usipoteze muda wako kijingajinga hivyo.
 
Bora umuache mana hayo mabango anayokutumia si bure roho inamuuma.
Kukaa kwako kimya anaumia zaidi ya vile amba vyo ungemjibu.
 
Vichambo vya nn na wewe mkaushie tu kiutu uzima atachoka mwenyewe
 
Na wewe unataka kumchamba?? [emoji12] warumi anakufaa, hebu ongea nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…