incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Jaman wakuu naona upole wangu unaniponza ni takribani mwez tangu niachane na girlfriend wangu ila cha ajabu had leo kila nikifungulia simu lazma nikute matusi na mabango kutoka kwake had naogopa kumuazma mtu sim maana ninaweza kumwazima mtu mara mabango yaanze nichekwe bure... sasa leo nimeona niwaombe wataalam wa kuchamba humu wanisaidie mabango nikamfowardie ili anikome na mimi.