MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,195
HahahahahahahMtafute mange kimambi utapata vichambo latest
Acha kumjibu hizo ni hasira anazitoa, mtoto wa kike akipenda anazama kweli, linapokuja swala la kuvunjika mahusiano anakuwa kama amepandwa na kakichaa fulani,piga kimya hasira zitamwisha ataacha hayo anayoyafanya sasa.Jaman wakuu naona upole wangu unaniponza ni takribani mwez tangu niachane na girlfriend wangu ila cha ajabu had leo kila nikifungulia simu lazma nikute matusi na mabango kutoka kwake had naogopa kumuazma mtu sim maana ninaweza kumwazima mtu mara mabango yaanze nichekwe bure... sasa leo nimeona niwaombe wataalam wa kuchamba humu wanisaidie mabango nikamfowardie ili anikome na mimi.
Imeisha Jana na Leo nimekeshea hapaBan yako inaisha lini best?
Hilo neno mabango(kumsema/kumchamba) maarufu sana mkoa wa Mara bila shaka mkuu ni mwenyeji wa huko.Jaman wakuu naona upole wangu unaniponza ni takribani mwez tangu niachane na girlfriend wangu ila cha ajabu had leo kila nikifungulia simu lazma nikute matusi na mabango kutoka kwake had naogopa kumuazma mtu sim maana ninaweza kumwazima mtu mara mabango yaanze nichekwe bure... sasa leo nimeona niwaombe wataalam wa kuchamba humu wanisaidie mabango nikamfowardie ili anikome na mimi.
Upo sahihiHakuna jibu linalomfaa ******** zaidi ya KIMYA, atahangaika sana akiona unampuuza. Jibu sasa uone ligi itaisha mwakani.
Hahahahahahaaaadoh wanawake wa kiivyo wapo wengi balaa...punguzeni viuno vijana dem ukiona anakufautilia fuatilia sana ujue ulikua unamkunja hasaa
Jaman wakuu naona upole wangu unaniponza ni takribani mwez tangu niachane na girlfriend wangu ila cha ajabu had leo kila nikifungulia simu lazma nikute matusi na mabango kutoka kwake had naogopa kumuazma mtu sim maana ninaweza kumwazima mtu mara mabango yaanze nichekwe bure... sasa leo nimeona niwaombe wataalam wa kuchamba humu wanisaidie mabango nikamfowardie ili anikome na mimi.
Wew acha uboya unataka umuonyeshe mbadala wake hiyo.mtafutie dem,tena ikiwezekana shots take oya kabisaJaman wakuu naona upole wangu unaniponza ni takribani mwez tangu niachane na girlfriend wangu ila cha ajabu had leo kila nikifungulia simu lazma nikute matusi na mabango kutoka kwake had naogopa kumuazma mtu sim maana ninaweza kumwazima mtu mara mabango yaanze nichekwe bure... sasa leo nimeona niwaombe wataalam wa kuchamba humu wanisaidie mabango nikamfowardie ili anikome na mimi.