Nifundishen mabango ya kumchamba ex- wangu

Hakuna jibu linalomfaa MPUMBAVU zaidi ya KIMYA, atahangaika sana akiona unampuuza. Jibu sasa uone ligi itaisha mwakani.
 
Jaman wakuu naona upole wangu unaniponza ni takribani mwez tangu niachane na girlfriend wangu ila cha ajabu had leo kila nikifungulia simu lazma nikute matusi na mabango kutoka kwake had naogopa kumuazma mtu sim maana ninaweza kumwazima mtu mara mabango yaanze nichekwe bure... sasa leo nimeona niwaombe wataalam wa kuchamba humu wanisaidie mabango nikamfowardie ili anikome na mimi.
Acha kumjibu hizo ni hasira anazitoa, mtoto wa kike akipenda anazama kweli, linapokuja swala la kuvunjika mahusiano anakuwa kama amepandwa na kakichaa fulani,piga kimya hasira zitamwisha ataacha hayo anayoyafanya sasa.
 
Asa iyo itakua mipasho ukimjibu naiyo si sifa ya mwanamume kujibu upuuzi kaa kimya
 
doh wanawake wa kiivyo wapo wengi balaa...punguzeni viuno vijana dem ukiona anakufautilia fuatilia sana ujue ulikua unamkunja hasaa
 
Chukua beibiiiiiiiiii mzuri Zaid yake...... Atakuwa mpole kama pilipili. Teh teh
 
Jaman wakuu naona upole wangu unaniponza ni takribani mwez tangu niachane na girlfriend wangu ila cha ajabu had leo kila nikifungulia simu lazma nikute matusi na mabango kutoka kwake had naogopa kumuazma mtu sim maana ninaweza kumwazima mtu mara mabango yaanze nichekwe bure... sasa leo nimeona niwaombe wataalam wa kuchamba humu wanisaidie mabango nikamfowardie ili anikome na mimi.
Hilo neno mabango(kumsema/kumchamba) maarufu sana mkoa wa Mara bila shaka mkuu ni mwenyeji wa huko.
Mara ya kwanza nilikuwa sielewi wanamaanisha nini.
 
Ujue unawapa kichwa wale wa mkoani.
 
Strength ya girl iko mdomon Na Mara nyng huwa n mahodar wa kuongea so hata ukipewa hyo michambo itakukaukia Na utaanza kurudiarudia..Lamsing mkaushie Na jitahidi kunywa maji ya kutosha uboreshe afya yako Tu..
 
Jaman wakuu naona upole wangu unaniponza ni takribani mwez tangu niachane na girlfriend wangu ila cha ajabu had leo kila nikifungulia simu lazma nikute matusi na mabango kutoka kwake had naogopa kumuazma mtu sim maana ninaweza kumwazima mtu mara mabango yaanze nichekwe bure... sasa leo nimeona niwaombe wataalam wa kuchamba humu wanisaidie mabango nikamfowardie ili anikome na mimi.
1476018244747.jpg
1476018272822.jpg

Mtumie hizo atatia akili mwenyewe, hakufatilii tena
 
mwanaume hana muda wa kugombana na mwanamke, wewe nyamaza yeye mwenyewe atachoka. ukianza kujibishana naye hamtaweza kuachana sanasana iki siku mtarudiana au hata kufika polisi. wewe kaa kimya panga mipangilio mipya. naninavyoonekana tokea mwanzo kuna lugha mlizokuwa mkizitumia hazikuwa nzuri. mngekuwa mlipeana heshima hata mlipoachana mngeendeleza heshima zenu. Muombe Mungu akupe ujasiri wa kukaa kimya nawe utapita salama.
 
Jaman wakuu naona upole wangu unaniponza ni takribani mwez tangu niachane na girlfriend wangu ila cha ajabu had leo kila nikifungulia simu lazma nikute matusi na mabango kutoka kwake had naogopa kumuazma mtu sim maana ninaweza kumwazima mtu mara mabango yaanze nichekwe bure... sasa leo nimeona niwaombe wataalam wa kuchamba humu wanisaidie mabango nikamfowardie ili anikome na mimi.
Wew acha uboya unataka umuonyeshe mbadala wake hiyo.mtafutie dem,tena ikiwezekana shots take oya kabisa
 
Silaha pekee uliyo nayo ni kukaa kimya. Hilo bonge la adhabu. Hiyo ni ishara bado kuna kitu anakikumbuka kwako. Kaa kimya utakuwa salama. Otherwise utajikuta mikononi mwa TCRA.....
 
Back
Top Bottom