Nifundisheni jinsi ya kutongoza mdada usiyemfahamu

Ukikutana nae tu we mwambie dada samahani naomba nikuto.mbe
 
Kiongozi wa JF hivi mnamchukuliaje mdau ambaye kwa akili zake timamu na kwa makusudi anaharibu uandishi wa Lugha nadhifu ya Kiswahili kama huyu Meira Baby Boy.... Mnaonaji katika kukienzi Lugha yetu tamu na nadhifu ya Kiswahili Mchafuzi wa Lugha kama huyu kupigwa ban ya wiki ili aendelee na kusubiria matokeo ya Form four na kuwasaidia wazazi majukumu ya Nyumbani?
Invisible Admin1988
Wewe ndo inapaswa upigwa life ban kwa uthalilishaji na kumuvunjia heshima member wa jamii forum

soma sheria za jukwaa

Jiandae kwa ban

Mods huyu ananizalilisha ananita meira jina ambalo si langu

Mpigen ban ya maisha ili liwe fundisho wa marofa wengine kama huyu
 
Duuu.... JF Please Mkanye huyu Kijana anapotosha na Kukidhalilisha kiswahili..

Wewe ndo inapaswa--INAPASHWA- upigwa-UPIGWE- life ban kwa uthalilishaji- UDHALILISHAJI na kumuvunjia-KUMVUNJIA heshima-HESHIMA member wa jamii forum

soma sheria za jukwaa

Jiandae kwa ban

Mods huyu ananizalilisha-ANANIDHALILISHA ananita-ANANIITA meira jina ambalo si langu

Mpigen-MPIGENI ban ya maisha ili liwe fundisho wa marofa-MALOFA wengine kama huyu

WEWE NI MWARABU NINI.....
 
Poa mkuu hakuna noma
 
Back
Top Bottom