Wewe ndo inapaswa upigwa life ban kwa uthalilishaji na kumuvunjia heshima member wa jamii forumKiongozi wa JF hivi mnamchukuliaje mdau ambaye kwa akili zake timamu na kwa makusudi anaharibu uandishi wa Lugha nadhifu ya Kiswahili kama huyu Meira Baby Boy.... Mnaonaji katika kukienzi Lugha yetu tamu na nadhifu ya Kiswahili Mchafuzi wa Lugha kama huyu kupigwa ban ya wiki ili aendelee na kusubiria matokeo ya Form four na kuwasaidia wazazi majukumu ya Nyumbani?
Invisible Admin1988
Duuu.... JF Please Mkanye huyu Kijana anapotosha na Kukidhalilisha kiswahili..Wewe ndo inapaswa upigwa life ban kwa uthalilishaji na kumuvunjia heshima member wa jamii forum
soma sheria za jukwaa
Jiandae kwa ban
Mods huyu ananizalilisha ananita meira jina ambalo si langu
Mpigen ban ya maisha ili liwe fundisho wa marofa wengine kama huyu
Poa mkuu hakuna nomaDuuu.... JF Please Mkanye huyu Kijana anapotosha na Kukidhalilisha kiswahili..
Wewe ndo inapaswa--INAPASHWA- upigwa-UPIGWE- life ban kwa uthalilishaji- UDHALILISHAJI na kumuvunjia-KUMVUNJIA heshima-HESHIMA member wa jamii forum
soma sheria za jukwaa
Jiandae kwa ban
Mods huyu ananizalilisha-ANANIDHALILISHA ananita-ANANIITA meira jina ambalo si langu
Mpigen-MPIGENI ban ya maisha ili liwe fundisho wa marofa-MALOFA wengine kama huyu
WEWE NI MWARABU NINI.....