Nifundisheni upishi wa skonzi

Nifundisheni upishi wa skonzi

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Nina oven ya mkaa kama ile ya TATEDO ninataka kuitumia kibiashara kupikia skonzi, Je ni nani anaweza kunisaidia recipe (jinsi ya kupika) hizo skonzi?
 
Skonzi si ndio buns?

Kama ni hivo basi sawa....

Nakuekea kipimo cha kilo 1...

Mahitaji

Unga kg 1
Samli 8 tablespoon (iyayushe)..
Siagi 5 tablespoon (kwa ladha nzuri zaidi) sio lazima lakini.
Yai 1
Ufuta (sesame seed) kiasi
Chumvi kiasi
Maji
Hamira 1.5 tablespoon
Baking powder 1 teaspoon

Namna ya kutaarsiha

1)Changanya unga wako pamoja na chumvi hamira na baking powder vizuri

2)Weka samli,kiini cha yai na siagi changanya then add maji kidogo kidogo hadi ushikane na kuwa kama wa chapati
3)Kanda vizuri hadi uwe laini...acha for 30 mins uumuke

4) Kata buns zako ukubwa unaohitaji kwa kutengeza shepu duara then panga kwenye trey

5)Chukua brush na pakaa ute juu yake then nyunyizia ufuta...ukimaliza acha hadi yaumuke ndio uweke kwenye oven..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hapo kwenye kuchanganya na maji pia unaeza weka maziwa badala ya maji
 
Back
Top Bottom