Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
sawa. nawangojaWatajibu wakitoka kuswali taraweh
sawa. nawangoja
Lugha ya biashara ngumu sana. wanakuambia interest ni 1.5 bila kodi. Kila kitu wanaenda parcentage tu. kujua ni kiasi gani ni ngumu.Nenda kwenye matawi husika watakupa maelezo ya kutosha kabisa
Ndio ujue umuhimu wa shule hata kama unapesaLugha ya biashara ngumu sana. wanakuambia interest ni 1.5 bila kodi. Kila kitu wanaenda parcentage tu. kujua ni kiasi gani ni ngumu.
Hao CRDB Kibokosina hamu tena na fixed deposit account, niliweka tsh milioni 1 crdb kwa mkataba wa miezi3 baada ya miezi 3 kufika sikutoa pesa zangu nikaenda baada ya miezi 6 kupita nikakuta nimewekewa faida tsh3000/= nikabadilisha account kutoka fixed deposit account kuwa account ya kawaida siku nyingine nilipokwenda kuangalia salio nikakuta elfu3 nilizokuwa nimewekewa kama faida zimekombwa na kwenye milioni1 nako zimekombwa zimebaki laki tisa na kitu.
Nipe interest rate za bank zote, pia na amount ya pesa utayo kuwa unawekeza kila mwezi. Nitakufanyia hesabuNina mpango wa kufungua akaunti ya akiba ili niwe nahifadhi pesa. Kisha baada ya mwaka ni draw zikiwa na interest nizifanyie wazo ambalo nitakuwa nimepanga.
Kwa wazoefu ipi ni nzuri zaidi, na je kuna tofauti gani kati ya hizo nilizotaja na Fixed Deposit Account?
Ahsante kwa msaada wenu.
Nipe interest rate za bank zote, pia na amount ya pesa utayo kuwa unawekeza kila mwezi. Nitakufanyia hesabu
Hi
- Interest rate 1.5% nimeweka 500,000. crdb
Ni savings zote ambazo huwa wanatoa Interests?Hi
Nakushauri nenda kafunguwe fixed deposit DTB bank. Interest aye ni 5.75% kwa mwaka. Baada ya withholding tax ni 5.175%(5.75*(1-10%)
Faida itakuwa Tshs 26,498/=View attachment 1766342