Mwendawazimu2
Member
- Nov 29, 2010
- 54
- 5
Nadhani majibu atakayokupa mke wako..., ndipo utakapojua either ufurahi au usikitike...Ni miaka kadhaa kimeoa lakini sina mtoto. Kwa 'bahati mbaya' nyumba ndogo amepata mimba yangu. Siku-intend kuzaa nje ya ndoa. On one hand najua nitaitwa baba muda sio mrefu. But on the other hand naona kama ndio matatizo yameanza katika ndoa yangu. Nifurahi au nisikitike?
Sio jambo la kufurahi ama kusikitika bali ni kujiuliza kwanza, umeoa una mke hamjabaatika kupata mtoto je mmeishaenda kucheki tatizo ni nini? Na kama bado unasuburi nini na unaamini vip kuwa hiyo nyumba ndogo yako ujauzito ilionao ni wa kwako? Tuweke wazi tuweze kutoa ushauri wetu
kwa jibu hili hata wa nyumba ndogo si wako....wajinga ndo waliwao!Tulishapima katika hospitali kadhaa, hakuna tatizo lililothibitishwa. Siwezi kusema hakuna mwenye tatizo kutokana na majibu hayo, kwani najua uwezo mdogo vipimo katika haspitali zetu nyingi...
Tulishapima katika hospitali kadhaa, hakuna tatizo lililothibitishwa. Siwezi kusema hakuna mwenye tatizo kutokana na majibu hayo, kwani najua uwezo mdogo vipimo katika haspitali zetu nyingi...
Ni miaka kadhaa kimeoa lakini sina mtoto. Kwa 'bahati mbaya' nyumba ndogo amepata mimba yangu. Siku-intend kuzaa nje ya ndoa. On one hand najua nitaitwa baba muda sio mrefu. But on the other hand naona kama ndio matatizo yameanza katika ndoa yangu. Nifurahi au nisikitike?
Kama hukumshirikisha mkeo wa ndoa katika maamuzi yako ujue umelikoroga. Ni bora unyamaze kimya hata kama nyumba ndogo unampenda sana.Ni miaka kadhaa kimeoa lakini sina mtoto. Kwa 'bahati mbaya' nyumba ndogo amepata mimba yangu. Siku-intend kuzaa nje ya ndoa. On one hand najua nitaitwa baba muda sio mrefu. But on the other hand naona kama ndio matatizo yameanza katika ndoa yangu. Nifurahi au nisikitike?