S Shanyc Senior Member Joined Sep 28, 2013 Posts 171 Reaction score 21 Oct 22, 2013 #1 Nnachoamin ni kwamba, kuuliza c ujinga,,,,jaman et m2 akikwambia u2me PM anakua ana maana gan!? Nini kirefu cha PM!?
Nnachoamin ni kwamba, kuuliza c ujinga,,,,jaman et m2 akikwambia u2me PM anakua ana maana gan!? Nini kirefu cha PM!?
Salih JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 642 Reaction score 420 Oct 22, 2013 #2 P-private M-meseji
Mshikawezi Mwizi JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 751 Reaction score 375 Oct 22, 2013 #3 PM bhana ni kifupi ila kirefu cha neno fulani hivi, naikumbuka sana hii PM ya miaka ile mingi iliyopita ila ni michache ijayo na ya zamani. PM bhana ina mambo!
PM bhana ni kifupi ila kirefu cha neno fulani hivi, naikumbuka sana hii PM ya miaka ile mingi iliyopita ila ni michache ijayo na ya zamani. PM bhana ina mambo!
K kiparah JF-Expert Member Joined Sep 7, 2010 Posts 1,173 Reaction score 117 Oct 22, 2013 #4 Halafu hayo mambo ya kuandika "c ujinga,,,,jaman et m2 akikwambia u2me", unashuka credibility yako!
S Shanyc Senior Member Joined Sep 28, 2013 Posts 171 Reaction score 21 Oct 22, 2013 Thread starter #5 Ahsante Bigbro kwa kunifuta ujinga zaidi! ila mda mwingine nafupisha maneno kwasababu ya kumaintain maneno, but thanx
Ahsante Bigbro kwa kunifuta ujinga zaidi! ila mda mwingine nafupisha maneno kwasababu ya kumaintain maneno, but thanx