Nifuteni ujinga

Nifuteni ujinga

Shanyc

Senior Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
171
Reaction score
21
Nnachoamin ni kwamba, kuuliza c ujinga,,,,jaman et m2 akikwambia u2me PM anakua ana maana gan!? Nini kirefu cha PM!?
 
PM bhana ni kifupi ila kirefu cha neno fulani hivi, naikumbuka sana hii PM ya miaka ile mingi iliyopita ila ni michache ijayo na ya zamani. PM bhana ina mambo!
 
Halafu hayo mambo ya kuandika "c ujinga,,,,jaman et m2 akikwambia u2me", unashuka credibility yako!
 
Ahsante Bigbro kwa kunifuta ujinga zaidi! ila mda mwingine nafupisha maneno kwasababu ya kumaintain maneno, but thanx
 
Back
Top Bottom