Nigella Lawson anawapa watoto wake pocket money £60 kwa siku

Sio PESA nyingi sana nikama 144,000 T-shirts. Kwa hadhi ya hao watoto na familia yao na nchi wanayo kaa nadhani nikawaida tu.Nikama kumpa mtoto 10,000 anayesoma IST kwahuko Tanzania kwasiku,wakati Baba anaingiza 5millions a day kwenye biashara zake.Sema kwa hali yetu tunaona kama Anasa.
Wataalamu wa "njululu" naomba wa convert kwa Tshs. inakuwa sh. ngapi
 
Mkuu wababe kwa shule na dereva, school meals ziko covered kwenye school fees. Hii ni pesa ya snacks kama chocolates za ziada.
 

Nigel Lawson; waziri wa fedha wa Margaret Thatcher "the witch" or "iron lady" depending on your point of view.
 
Hyo hella ni halali kwa uko, though kwa kitanzania ni kubwa
Ni kama wewe ulieko mjini unaona elf20 ndo inafaa kwa siku basi vijijin wanaona hyo inafaa kwa wiki2
 
Mkuu wababe kwa shule na dereva, school meals ziko covered kwenye school fees. Hii ni pesa ya snacks kama chocolates za ziada.
labda kwenye hiyo shule ya kishua chocolate moja ni paundi sita,Walkers crisp sijui crispy moja paundi tano,hiyo pesa ni ya chocolate kumi tu yeye na wapambe wake.
 
Halafu ukute hapo shule kuna watoto wa Ma billionaire zaidi yao,lakini wao wanakuja na 10 dollars.
 
Pambana na hali yako.
 
Nilivyokuwa mjini Tshs 10,000 ilikuwa haichukui hata dakika wala chakula hoteli kubwa siwezi kula.., huku kijijini elfu kumi tunakula na washikaji na chenji inabaki..

UK 60 pounds nikienda shopping vitu havijai kwenye wallet..., US naweza kupata kwa pesa hiyo nikajaza mfuko wa Rambo shopping..

Sisemi kumpa mtoto excess money ni vizuri la hasha hio inawajengea wastage.., point yangu ni kwamba matumizi ni tofauti kutokana na sehemu usifananishe matumizi yako Ushirombo na mtu aliyepo Copenhagen...
 
Baba waziri..Mume mmiliki wa bank..sawasawa.

Acha niendelee kuchumia juani huenda nikawapa watoto wangu 350k per day hapo baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…