Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahi basi
Wataalamu wa "njululu" naomba wa convert kwa Tshs. inakuwa sh. ngapi
Mkuu wababe kwa shule na dereva, school meals ziko covered kwenye school fees. Hii ni pesa ya snacks kama chocolates za ziada.Sio PESA nyingi sana nikama 144,000 T-shirts. Kwa hadhi ya hao watoto na familia yao na nchi wanayo kaa nadhani nikawaida tu.Nikama kumpa mtoto 10,000 anayesoma IST kwahuko Tanzania kwasiku,wakati Baba anaingiza 5millions a day kwenye biashara zake.Sema kwa hali yetu tunaona kama Anasa.
View attachment 1229329
Nilisoma gazeti moja, Nigella Lawson anawaza watoto wake pocket money £60 kwa siku.
Mhh, hii ni budget yangu ya wiki mbili kwenda kazini na hapo katikati kuna siku ninazobeba kiporo cha wali canteen sifungui wallet.
Hapa ndiyo tunaona tofauti ya maisha. Na siajabu hii pesa kwa hawa watoto ni ndogo.
Hata kama nitajaliwa kuwa na pesa watoto wangu watajifunza ku budget. Katika mambo niliyoyapenda kwa Donald Trump, pamoja na mahela yake lakini watoto wake walipokuwa wanasoma walipewa kiasi cha pesa kitoshe mpaka semester inakwisha.
Walifua kwenye communal laundry kama watoto wengine wote. Matokea yake wako vizuri kwenye majukumu yao.
£60 a day for a child is a bit too much.
Kwa msiomfahamu Nigella Baba yake alikuwa waziri wa fedha wa Uingereza na aliolewa na Golden Sachs mwenye investment bank pia Nigella ni celebrate chef.
Ni Baba yake ndiye alikuwa waziri wa fedha mr Lawson
labda kwenye hiyo shule ya kishua chocolate moja ni paundi sita,Walkers crisp sijui crispy moja paundi tano,hiyo pesa ni ya chocolate kumi tu yeye na wapambe wake.Mkuu wababe kwa shule na dereva, school meals ziko covered kwenye school fees. Hii ni pesa ya snacks kama chocolates za ziada.
Pambana na hali yako.View attachment 1229329
Nilisoma gazeti moja, Nigella Lawson anawaza watoto wake pocket money £60 kwa siku.
Mhh, hii ni budget yangu ya wiki mbili kwenda kazini na hapo katikati kuna siku ninazobeba kiporo cha wali canteen sifungui wallet.
Hapa ndiyo tunaona tofauti ya maisha. Na siajabu hii pesa kwa hawa watoto ni ndogo.
Hata kama nitajaliwa kuwa na pesa watoto wangu watajifunza ku budget. Katika mambo niliyoyapenda kwa Donald Trump, pamoja na mahela yake lakini watoto wake walipokuwa wanasoma walipewa kiasi cha pesa kitoshe mpaka semester inakwisha.
Walifua kwenye communal laundry kama watoto wengine wote. Matokea yake wako vizuri kwenye majukumu yao.
£60 a day for a child is a bit too much.
Kwa msiomfahamu Nigella Baba yake alikuwa waziri wa fedha wa Uingereza na aliolewa na Golden Sachs mwenye investment bank pia Nigella ni celebrate chef.
Siku hizi una post za kijinga jinga badlikaPesa ndogo sana
Swalehe huwa nampa sh 50
Sijawahi post kitu cha maana mkuuSi
Siku hizi una post za kijinga jinga badlika
Labda uzae namimi...Baba waziri..Mume mmiliki wa bank..sawasawa.
Acha niendelee kuchumia juani huenda nikawapa watoto wangu 350k per day hapo baadae.
HahahahaLabda uzae namimi...
Hao ndio wanaishi ndugu yangu, wengine tunadumu tu dunianiUSISEME HIVYO MKUU WENGINE TUMEZALIWA ILI KUIJAZA DUNIA NA KUSINDIKIZA WENGINE