Niger: Uongozi wa Kijeshi wampa Balozi wa Ufaransa saa 48 kuondoka Nchini humo

muda ukifika wananchi watawakataa huo utawala wa kijeshi
 
Nimetoka kusoma sasa hivi Aljazeera kwamba Macron kasema huyo barozi na maafisa wengine hawaondoki watabaki hapo hapo Niger. Huenda amatafta sababu waende kumkamata washambuliane na walinzi wake ili apate sababu ya kuingia kijeshi kamili.
 
Dharau za wazi wazi hapo ndio ufaransa anazidi kuonekana boggus wa kutupwa.Hawatumii akili kabisaa yani kisa ubalozi ni nchi kamili ndio mdinde kabisaaa😂😂 nyie kale kabibi ndio kashauri pale
 
Hii inaonyesha wazi ufaransa kageuza hizi nchi makoloni yake ndio maana hataki kuondoka na Macron kasema ataunga mkono harakati zozote za kijeshi dhidi ya serikali ya kimapinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…