Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Utawala wa kijeshi wa junta wa Niger umeanza kuwabana na kuwatimua Wachina waliolewa nchini humo. Inaeleweza kuwa utawala huo umekuwa katika msuguano mkubwa na Wachina katika taifa hilo la magharibi wakiwa hawaridhishwi na jinsi Wachina wanavyoendesha miradi yao na biashara zao.
Utawala huo umeanza kuwapa mbinyo Wachina nchini humo kwa njia mbalimbali ikiwemo amri ya Wachina wote waliokaa zaidi ya miaka minne nchini humo kuondoka na kurudi kwao.
Utawala huo umeanza kuwapa mbinyo Wachina nchini humo kwa njia mbalimbali ikiwemo amri ya Wachina wote waliokaa zaidi ya miaka minne nchini humo kuondoka na kurudi kwao.