Kuna hasara gani Wachina wanaocheza madubwi ya kamari wakifukuzwa?Xi Jinping raia wako wanafukuzwa.
Una maanisha nini ? Jeshi na kufukuzwa kwa raia wa nchi ?Kuwaondoa Wachina ni rahisi sana, hawana jeshi lililotapakaa duniani.
Tatizo gani ?Wachina ni tatizo dunia nzima kasoro China
Tatizo ganiWachina ni tatizo dunia nzima kasoro China
Waanze kuchinja wachina hovyo ndio utajua China ina jeshi la kuingia nchi nyingine ama laah.Ukifukuza Wamarekani waliowekeza nchini kwako jeshi la America na CIA wanaweza kukutisha lakini Wachina bado hawana jeshi la kuingilia nchi nyingine.