Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Manula ndio kipa?Wanigeria wamemsifia sanaKwa kiwango alichonyesha Leo manula anahitaj pongez za dhat
Unakumbukumbu nzuri sanaNakumbuka kuna mwaka mmoja, game ya mwisho kama hii ilibidi tutoe droo yoyote na Congo tuingie AFCON. Game ilichezwa Kinshasa, tofauti na kiwango chao Taifa Stars siku hiyo waliupiga mpira kinoma mpaka tukaanza kufurahi.
Game ilikuwa suluhu 0 - 0 mpaka dakika 90 tukaanza kushangilia. Kilichofuata refa hakumaliza mpira mpaka dakika ya 112 Congo wanapata bao. Ndio mpira wa Afrika, nikikumbuka mpaka Leo inaniuma.
Unakumbukumbu nzuri sana