Nigeria 1-0 Tanzania

Nigeria 1-0 Tanzania

kirabe

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
434
Reaction score
300
1472926137808.png
 
Kwa kiwango alichonyesha Leo manula anahitaj pongez za dhat
 
Sept 3, 2016

Video :Nigeria VS Tanzania 1-0 Iheanacho Goal Full highlights 03/09/2016

Source: football is my life
These are the line ups:

Nigeria XI: Ikeme; Mohammed, Balogun, Troost-Ekong, Echiejile; Mikel/Wilfried Ndidi, Onazi; Musa, Moses, Iheanacho; Ighalo

Tanzania XI : Aishi, Kapombe, Hussein, V. Andrew, Mwantika, Himid Mao, Kichuya, Mkude, Msuva, Samatta, Bocco
 
Nakumbuka kuna mwaka mmoja, game ya mwisho kama hii ilibidi tutoe droo yoyote na Congo tuingie AFCON. Game ilichezwa Kinshasa, tofauti na kiwango chao Taifa Stars siku hiyo waliupiga mpira kinoma mpaka tukaanza kufurahi.

Game ilikuwa suluhu 0 - 0 mpaka dakika 90 tukaanza kushangilia. Kilichofuata refa hakumaliza mpira mpaka dakika ya 112 Congo wanapata bao. Ndio mpira wa Afrika, nikikumbuka mpaka Leo inaniuma.
 
Unakumbukumbu nzuri sana
 
VIDEO :FULL MATCH 90' minutes Nigeria 1 vs Tanzania 0 (AFCON QUALIFIERS)
Tazama mechi nzima ilivyokuwa na kuona viwango vya wachezaji wetu ktk mechi za kimataifa

Source: XISVVCX
Vikosi:
Nigeria XI: Ikeme; Mohammed, Balogun, Troost-Ekong, Echiejile; Mikel/Wilfried Ndidi, Onazi; Musa, Moses, Iheanacho; Ighalo

Tanzania XI : Aishi, Kapombe, Hussein, V. Andrew, Mwantika, Himid Mao, Kichuya, Mkude, Msuva, Samatta, Bocco

C.C PAGAN ; Bigozo ; Kirabe ; Amavumbi ; Interest ; yoga; Boniface salim ; CossovoMan ; BlackPanther ; Sembo ; poppah ; AKILI TATU ; ntamaholo ; Makoye Matale ; Abunwasi ;
 
Back
Top Bottom