Nigeria: Aliko Dangote atangaza nia ya kuuza Kiwanda chake cha Mafuta. Adai kuna watu hawajapendezwa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Baada ya msululu wa vikwazo kutoka Maofisa wa Nchi yake kupamba moto kisa kujenga kiwanda Cha Mafuta,Dangote anaelekea kusalimu amri na kubwaga Manyanga.

Bwana Dangote anadai aliamua kujenga kiwanda kikubwa Cha Mafuta Afrika Ili kuisaisia Nchi yake ila Kuna watu hawajapendezwa nae ambapo amekuwa kwenye mvutano na Taasisi inayosimamia mambo ya Mafuta Nchini mwaka Nigeria.

Pia Soma: Dangote aeleza alivyonyimwa Mafuta na Nchi yake Nigeria. Hata alipotaka kuagiza ya nje alinyimwa kibali

---
The Dangote Group, Africa’s largest conglomerate, is exploring the sale of a 12.5 percent stake in its newly commissioned refinery as it grapples with liquidity concerns, according to the Global rating agency, Fitch Rating.

In 2021, Nigerian National Petroleum Corporation (NNPC) acquired a 7.25 percent stake in the Dangote refinery’s project entity for $1.0 billion, with an option to purchase the remaining 12.75 percent stake by June 2024.

“Since the option has not been exercised, the group plans to divest a 12.75% stake in DORC in 2024,” Fitch Ratings said in its latest note.

Fitch added, “The group intends to service its significant syndicated loan maturing in August 2024 from the equity divestment. However, timely divestment and meeting the imminent maturity is highly uncertain in our view”.

Fitch noted that Dangote has immediate debt servicing requirements related to the syndicated loan raised to finance the construction of the refining company.

“Further delays in meeting the funding requirements would significantly increase the likelihood of financial restructuring or default and lead to further rating downgrade,” Fitch explained.

The company’s oil refinery operated at about 50 percent capacity in the first half of the year, at 325,000-375,000 bpd, Fitch said, while Dangote’s fertiliser business was hindered by inadequate gas supply.

“The EBITDA contribution from the refinery has been far below our previous projection as the facility is ramping up and optimizing production,” Fitch Rating said.

“We expect gradual improvement in EBITDA contribution from DORC going forward following the initiation of gasoline production in Q3 this year,” the rating agency added.

Fitch said Dangote group has senior secured debt raised at subsidiary levels amounting to $2.7 billion at end-2023 representing 49 percent of total group debt.

“The debt structure also includes an on-demand shareholder loans from its ultimate parent Greenview plc, amounting to $2.3 billion representing 43 percent of total debt,” Fitch said.

“We view the shareholder loans as subordinated debt. The company has also raised senior unsecured debt amounting to N350 billion with long-dated maturities in 2029 and 2032 to finance capex requirements,” Fitch added.

Two months ago, Aliko Dangote, the founder of Dangote Group revealed that he has paid off $2.4bn of the $5.5bn loan for his $19bn Lagos-based refinery.

“We borrowed the money based on our own balance sheet. I think we borrowed just over $5.5bn. But we also paid a lot of interest as we went along, because the project was delayed because of a lack of land, also the sand-filling took a long time. Almost five years or so we didn’t do anything.

“We actually started in 2018. We borrowed that much. We have, of course, paid interest and some principal, about $2.4bn. We’ve done very well. We now have only about $2.7bn left to be paid. So we’ve done very well for a project of that magnitude,” he said.

Source: Dangote to sell 12.5% refinery stake amid liquidity concern - Businessday NG

My Take
Mtu mweusi Bado hajakamiliaha safari ya evolution so inapofanya jambo do at your own risks 🤣🤣
 
View: https://www.instagram.com/p/C-XnDafKwbB/?igsh=MXFsb2h5ZmM3bjR2cg==

My Take
Mtu mweusi Bado hajakamiliaha safari ya evolution so inapofanya jambo do at your own risks 🤣🤣

Pia soma Dangote aeleza alivyonyimwa Mafuta na Nchi yake Nigeria. Hata alipotaka kuagiza ya nje alinyimwa kibali

"Black people are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Kakosa mkopo wa Mchongo huyo 😂😂
Hata kama kakosa mkopo, kwa nini Serikali ya nchi yake isimpatie fedha hata kama kwa kumkopesha???
Ni Kodi kiasi gani ambayo huyo mtu amekuwa akiilipa Serikali katika nchi hiyo ya Nigeria??
Vipi kuhusu suala la Ajira za Wanaigeria ambao wataajiriwa kwenye hicho kiwanda chake alichojenga???

Ukiwa na akili timamu sawa sawa kabisa, ni KWELI kuishi Afrika inakuwa ni mateso makali Sana Tena ni mateso makubwa sana.

Jaribu kufikiria, mtu/Raia amejitahidi kiasi kikubwa namna hiyo hadi akajenga kiwanda, Serikali badala ya kumuunga mkono na kumsaidi mtu huyo, imemgeuza na kumfanya kuwa adui. Je, uzalendo utatoka wapi kwenye hali kama hiyo?????
 
Baada ya msululu wa vikwazo kutoka Maofisa wa Nchi yake kupamba moto kisa kujenga kiwanda Cha Mafuta,Dangote anaelekea kusalimu amri na kubwaga Manyanga.

Bwana Dangote anadai aliamua kujenga kiwanda kikubwa Cha Mafuta Afrika Ili kuisaisia Nchi yake ila Kuna watu hawajapendezwa nae ambapo amekuwa kwenye mvutano na Taasisi inayosimamia mambo ya Mafuta Nchini mwaka Nigeria.

Pia Soma: Dangote aeleza alivyonyimwa Mafuta na Nchi yake Nigeria. Hata alipotaka kuagiza ya nje alinyimwa kibali

---
The Dangote Group, Africa’s largest conglomerate, is exploring the sale of a 12.5 percent stake in its newly commissioned refinery as it grapples with liquidity concerns, according to the Global rating agency, Fitch Rating.

In 2021, Nigerian National Petroleum Corporation (NNPC) acquired a 7.25 percent stake in the Dangote refinery’s project entity for $1.0 billion, with an option to purchase the remaining 12.75 percent stake by June 2024.

“Since the option has not been exercised, the group plans to divest a 12.75% stake in DORC in 2024,” Fitch Ratings said in its latest note.

Fitch added, “The group intends to service its significant syndicated loan maturing in August 2024 from the equity divestment. However, timely divestment and meeting the imminent maturity is highly uncertain in our view”.

Fitch noted that Dangote has immediate debt servicing requirements related to the syndicated loan raised to finance the construction of the refining company.

“Further delays in meeting the funding requirements would significantly increase the likelihood of financial restructuring or default and lead to further rating downgrade,” Fitch explained.

The company’s oil refinery operated at about 50 percent capacity in the first half of the year, at 325,000-375,000 bpd, Fitch said, while Dangote’s fertiliser business was hindered by inadequate gas supply.

“The EBITDA contribution from the refinery has been far below our previous projection as the facility is ramping up and optimizing production,” Fitch Rating said.

“We expect gradual improvement in EBITDA contribution from DORC going forward following the initiation of gasoline production in Q3 this year,” the rating agency added.

Fitch said Dangote group has senior secured debt raised at subsidiary levels amounting to $2.7 billion at end-2023 representing 49 percent of total group debt.

“The debt structure also includes an on-demand shareholder loans from its ultimate parent Greenview plc, amounting to $2.3 billion representing 43 percent of total debt,” Fitch said.

“We view the shareholder loans as subordinated debt. The company has also raised senior unsecured debt amounting to N350 billion with long-dated maturities in 2029 and 2032 to finance capex requirements,” Fitch added.

Two months ago, Aliko Dangote, the founder of Dangote Group revealed that he has paid off $2.4bn of the $5.5bn loan for his $19bn Lagos-based refinery.

“We borrowed the money based on our own balance sheet. I think we borrowed just over $5.5bn. But we also paid a lot of interest as we went along, because the project was delayed because of a lack of land, also the sand-filling took a long time. Almost five years or so we didn’t do anything.

“We actually started in 2018. We borrowed that much. We have, of course, paid interest and some principal, about $2.4bn. We’ve done very well. We now have only about $2.7bn left to be paid. So we’ve done very well for a project of that magnitude,” he said.

Source: Dangote to sell 12.5% refinery stake amid liquidity concern - Businessday NG

My Take
Mtu mweusi Bado hajakamiliaha safari ya evolution so inapofanya jambo do at your own risks 🤣🤣
Ndio maana Afrika kuendelea ni ngumu sana.
 
Huyu billionaire apewe uraia wa Tz chap! Ikiwezekana na kakijiji fulani hivi akamiliki. Muhimu akubali kuhamishia mitaji nchini.
 
Wazo zuri.

Nashauri Serikali ya Tz iunde kamati maalumu ya kuweza kumshawishi mtu huyu ili aweze kubadili uraia wake na kuwa Mtanzania.
Watanzania Tutumie janga hili analofanyiwa huyu mtu huko nchini kwake Nigeria Kama "fursa,"
Chonde chonde watawala mliopo madarakani sasa hivi, tuzilaze damu kuitumia fursa hii, "Golden Chance never come twice."
 
Wanasema hatuna visima vya mafuta mkuu
Wazo zuri.

Nashauri Serikali ya Tz iunde kamati maalumu ya kuweza kumshawishi mtu huyu ili aweze kubadili uraia wake na kuwa Mtanzania.
Watanzania Tutumie janga hili analkfanyiwa huyu mtu huko nchini kwake Nigeria Kama "fursa,"
Chonde chonde watawala mliopo madarakani sasa hivi, tuzilaze damu kuitumia fursa hii, "Golden Chance never come twice."
 
Inaumiza sana wazawa kutouthaminiwa.Hata tz mambo haya yapo sana
 
Hata kama kakosa mkopo, kwa nini Serikali ya nchi yake isimpatie fedha hata kama kwa kumkopesha???
Ni Kodi kiasi gani ambayo huyo mtu amekuwa akiilipa Serikali katika nchi hiyo ya Nigeria??
Vipi kuhusu suala la Ajira za Wanaigeria ambao wataajiriwa kwenye hicho kiwanda chake alichojenga???

Ukiwa na akili timamu sawa sawa kabisa, ni KWELI kuishi Afrika inakuwa ni mateso makali Sana Tena ni mateso makubwa sana.

Jaribu kufikiria, mtu/Raia amejitahidi kiasi kikubwa namna hiyo hadi akajenga kiwanda, Serikali badala ya kumuunga mkono na kumsaidi mtu huyo, imemgeuza na kumfanya kuwa adui. Je, uzalendo utatoka wapi kwenye hali kama hiyo?????
Hizo siasa conflict mkuu
 
Jamaa wanambana kwel au porojoo.
Waafrika hatupendan sana.
Kuna mwandishi Mmoja wa Urusi, amendika MAKALA iliyoshiba kuhusu Dangote kunywa mafuta na MAMLAKA Nchini humo lkn hata Wazungu kumuuzia mafuta hayo wamemuwekea Ngumu .
 
Sijui hata kama umeisoma hiyo taarifa. Au pengine tafsiri yako na yangu zinatofautiana.

Sijaona popote pale ambapo Dangote Group wanataka kuuza kampuni yao. Bali wanataka kuuza 12.75% ya shares ili kufikia taratibu za uanzishwaji wake. Siyo kwa sababu ya vikwazo vya kutowapendeza baadhi ya watu.

Bali ni kwa sababu za kufinance project na kulipa madeni makubwa iliyonayo na hivyo kuendelea kumantain credit score yao nzuri waliyonayo. NNPC ilishanunua zaidi ya asilimia 7. Ikiahidi kununua hizo asilimia 12.75 zilizobaki. Kitu ambacho mpaka sasa hakijafanyika.

Sasa sijui tafsiri yako ya kudai kuwa kuna watu hawajapendezwa umeitolea wapi kuwa anakaribia kuibwaga.
 
Aje Tz, sehemu salama Kwa uwekezaji
Mafuta au??
Kuna mtu alisema kule kwenye Cement dangote alifanya analysis zake akaona hata akiuza Bag ya Cement kwa Elfu 8 ni faida tu😂😂lakini zile Cartel za Tz wakasema Haikubaliki😂😂
 
Ukute ni masharti ya IMF na WB
 
Back
Top Bottom