Nigeria: Aliko Dangote atangaza nia ya kuuza Kiwanda chake cha Mafuta. Adai kuna watu hawajapendezwa

Nigeria: Aliko Dangote atangaza nia ya kuuza Kiwanda chake cha Mafuta. Adai kuna watu hawajapendezwa

Sijui hata kama umeisoma hiyo taarifa. Au pengine tafsiri yako na yangu zinatofautiana.

Sijaona popote pale ambapo Dangote Group wanataka kuuza kampuni yao. Bali wanataka kuuza 12.75% ya shares ili kufikia taratibu za uanzishwaji wake. Siyo kwa sababu ya vikwazo vya kutowapendeza baadhi ya watu.

Bali ni kwa sababu za kufinance project na kulipa madeni makubwa iliyonayo na hivyo kuendelea kumantain credit score yao nzuri waliyonayo. NNPC ilishanunua zaidi ya asilimia 7. Ikiahidi kununua hizo asilimia 12.75 zilizobaki. Kitu ambacho mpaka sasa hakijafanyika.

Sasa sijui tafsiri yako ya kudai kuwa kuna watu hawajapendezwa umeitolea wapi.
Nimeshindwa kuelewa kabisa huu ukalimani nikataka nikebehi na kusema alielewa kama ni mawese au ya karanga like hapa

Sijaona hizo hesabu na riba kubwa alizolipa mpaka sasa ingawa alichukua sijui 5.5b mkopo na kulipa baadhi tena kwa riba kubwa

Acha waburuzwe
 
Wizara ya uwezeshaji ikae naye ili hicho kiwanda alilete Tanzania - Kigoma kwa sababu raw mayerial za kiwanda cha mafuta zipo Kigoma.
 
Kwenye mafuta Nigeria wakubwa hula kwa mikono miwili,Sasa bwana dangote anataka kupunguza Bei ya mafuta,hatoboi
 
Huyu billionaire apewe uraia wa Tz chap! Ikiwezekana na kakijiji fulani hivi akamiliki. Muhimu akubali kuhamishia mitaji nchini.
Kama vile yule kanjibai wa simba alivyo tekwa akaachia ile ardhi ya kule ........ ..ops ni siri kumbe
 
Back
Top Bottom